Vurugu za kidini: Kauli ya January Makamba...

speechwriter

Senior Member
Jul 4, 2011
137
50
Mbunge wa Bumbuli atoa tamko:

attachment.php
 

Attachments

  • January tamko la vurugu.PNG
    January tamko la vurugu.PNG
    6 KB · Views: 2,070
Hili nalo ni Tamko? Hili unalodai ni tamko amemtolea nani?:A S 109:
 
Hili nalo ni Tamko? Hili unalodai ni tamko amemtolea nani?:A S 109:

mkuu hili sio tamko bali ni singo mpya imetolewa na sheikh farid a.k.a uamsho featuring sheikh ponda crew.a.k.a jumuiya ya chuki na fitna tanzania sikiliza kipindi cha xxxl wafu redio saa saba utaisikia.
 
..........uwe unaangalia angalia kipindi cha skonga eatv ndio utajua sasa hvi watoto wa shule za kata hamnazo,full ukilaza...........

Hahaha...umenigusa hapo kwenye SKONGA!

Kweli ukiangalia hicho kipindi ndio utajua focus yetu ya kuwajenga hao watoto, muendesha kipindi utakuta anafagilia eti ni msanii gani ambae nyimbo zake zinabamba hapo shuleni kwao...kweliiiiii???....ndicho tunachohitaji kusikia toka kwa hao watoto?? Labda mie umri umenitupa mkono na hizo sio anga zangu.
 
Ushuhuda huu ni mzuri. Tatizo umekuja Kuchelewa sana. Yusuf Makamba, baba Mzazi wa huyu kijana, angetumia ushuhuda huu kumnyamazisha Ali Hassan Mwinyi na Kambi yake ya Kidini kwenye NEC ya CCM Pale Dodoma 2005, ingeleta faida kubwa sana kwa usalama wa Taifa hili. Ushuhuda huu umekuja too late.

Tanzania haitakaa iwe kama zamani, kuanzia matukio ya Zanzibar na Mbagala mwaka huu. Kovu litabakia milele, na haya yameletwa na Kambi ya Ali Hassan Mwinyi ambayo imekuwa ikitizama mustakabali wa Taifa hili Kiislamu Islamu na Kikristo Kristo Tangia Mwinyi apate nafasi ya uongozi katika taifa hili 1985.

Tuliokuwapo miaka hiyo tunakumbuka Ali Hassan Mwinyi alipambwa na Mwalimu Nyerere Kuwa Mwinyi alikuwa mtu mzuri mwenye Sifa 10 za uongozi. Tulimchagua Mwinyi kwa sifa hizo 10, lakini haikuchukua Muda. Udini ukaanza. That was the turning point katika Amani ya Taifa hili.

Uharibifu wa Amani katika Tanzania umeletwa na chaguo hili la Chama cha Mapinduzi 1985.


Mbunge wa Bumbuli atoa tamko:

attachment.php
 
Daah january kasema mambo mazuri na ameonesha jinsi wanavyo ishi na mama yao kwa amani na upendo pamoja wana utofauti wa dini,

Nasi tuna paswa kuishi hivi.
Back to topic hili si tamko naona mtoa mada ameshindwa kutofautisha kati ya tamko na comment!

Naomba tumsamehe!
 
ndio tamko hili..hivi kuna watu wana mda wa kuwafollow hawa watu kwenye twitter?
 
Kwanza sio tamko.

Ila ni ushuhuda mzuri katika wrong time. Asikate tamaa awekeze ktk kuwaelimisha watu wa imani yake kuwa wanachokifanya hakikubaliki na pia kinawadhalilisha.

Lazima wabadilike kimtazamo na kimatendo ili sote tuwe good and civilized residents of the land, kisha tule mema ya nchi.
 
Tatizo la hapa JF hatufahamiani. Siku hizi vitoto vidogo sana vinajua kusoma na vinatumia kompyuta. Usione ajabu mada hii imetolewa na katoto ka chekechea halafu sisi watu wazima tunakarushia maneno mazito wakati kenyewe kanaona poa tu. Naungana na Wakuu kasamehewe bure.
 
Nchi ya tume,kamati,matamko,kukojoa ...yaani hovyohovyo kabisa,kama ndo hivi na mie ksho natoa tamko langu.
 
Sio tamko Ni meseji tu Kwenye twitter na mie binafsi Sioni Tatizo kwani KATOa mfano mzuri sana, Watu mmechukia kwa sababu Ni makamba lakini kaongea point
 
Kumbe na yeye anagonga Mbuzi katoliki???!!! Nimefurahi sana hii, soma vizuri ndio utaelewa maana huwa wakifanya sala (swala) japo swala hafanywi!!!! huwa Mama wa watu nae anajifunika, wakati wa kufunga Mama nae hufanya vivyo hivyo, sasa tuje upande wa pili-Mama. Akija na kitoweo chake je????
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom