Vurugu Bugando: Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa inadaiwa kakamatwa na Polisi

Haya ni majungu, inaonekana mtoa mada anamihemko.

Nakushauri mtoa mada tulia weka pembeni mihemko na andika tena thread hiii upya na kwa taarifa hii yako tuiamini Jeshi la Polis na kama mnajisifu kumpiga OCD Wa Wilaya sasa mmenyea kambi na mtaisoma namba
ukimpiga ocd kutokana na ukorofi wake utakuwa umenyea kambi na utaisoma namba,ila ukimuua Alphonce mawazo kutokana tu na itikadi yake utapewa heshima kubwa na kuonekana shujaa kwa wana ccm,kipimo kilekile ulichopimia ndicho utakachopimiwa.
 
Acheni kushabikia uhuni , fujo na kejeli.pilisi wanatekeleza majukumu yao vizuri sana

kweli mkuu,kupiga na kuua wapinzani ni jukumu mojawapo la hao jamaa,kwa hiyo wanapolitekeleza tunapaswa tutulie na ikibidi tutoe ushirikiano wa kutosha,asante kwa kutukumbusha hilo.
 
Daaa,Mungu asante kwa kuniepushia dhambi ya kumnenea huyu kiumbe wako.Nilitamani aonje wanachopitia familia ya Mawazo na ndugu zake ili aache kejeli!
hivi geita kumbe hakuna mortuary,kwanini wanamtenbeza hivyo marehemu?
au wanataka wachunguze kilichomuua?
 
Haya ni majungu, inaonekana mtoa mada anamihemko.

Nakushauri mtoa mada tulia weka pembeni mihemko na andika tena thread hiii upya na kwa taarifa hii yako tuiamini Jeshi la Polis na kama mnajisifu kumpiga OCD Wa Wilaya sasa mmenyea kambi na mtaisoma namba

Ocd Wa Geita Kaja Mpaka Bugando Kufanya Nini Wakati Mwili Uko Mikononi Mwa Wanafamilia?
 
Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA(BAVICHA)Patrobasi Katambi inadaiwa anashikiliwa na polisi,bado tunafaatilia sababu za kukamatwa kwake na viongozi wengine,bt kwa tip iliyopo ni kwamba OCD wa wilaya ya Geita amepigwa vibaya baada ya yeye na polisi wenzake kulazimisha kuingia Mochwari huku mwili ukiwa umeshakabidhiwa hospitali,
Ikiwemo na kutaka kuwatawanya watu waliokuwa wamejitokeza kwa wingi kumsindikiza kamanda Mawazo,
pia kuna madai polisi kutaka kufanya njama ya kulazimisha mwili urudishwe Geita,
Kamanda Lema yupo eneo la tukio.

Kuna njama inadaiwa za kutaka kuutorosha mwili wa marehemu, mpaka sasa haijafahamika wazi nani yupo nyuma ya njama hzo wala the motive behind

Nimechukia sana kusikia mmeishia kujeruhi tu. R.I.P Kamanda Mawazo.
 
kuutorosha mwli? Nani autoroshe? t
 
Nimeona itv police walitumia nguvu kumwokoa askari aliyeingia ndani ya mochari.
 
Yawezekana wao ndio wanahusika, kumbuka jamaa aliwahi kuwanasa Polisi wa Geita wakirekodi mikutano ya CDM na wakiwa na kadi za CDM.
 
kuna watu mnahitaji .... naomba niishie hapa hapa nawaheshimu Moderators.
Haya ni majungu, inaonekana mtoa mada anamihemko.

Nakushauri mtoa mada tulia weka pembeni mihemko na andika tena thread hiii upya na kwa taarifa hii yako tuiamini Jeshi la Polis na kama mnajisifu kumpiga OCD Wa Wilaya sasa mmenyea kambi na mtaisoma namba
 
Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA(BAVICHA)Patrobasi Katambi inadaiwa anashikiliwa na polisi,bado tunafaatilia sababu za kukamatwa kwake na viongozi wengine,bt kwa tip iliyopo ni kwamba OCD wa wilaya ya Geita amepigwa vibaya baada ya yeye na polisi wenzake kulazimisha kuingia Mochwari huku mwili ukiwa umeshakabidhiwa hospitali,
Ikiwemo na kutaka kuwatawanya watu waliokuwa wamejitokeza kwa wingi kumsindikiza kamanda Mawazo,
pia kuna madai polisi kutaka kufanya njama ya kulazimisha mwili urudishwe Geita,
Kamanda Lema yupo eneo la tukio.

Kuna njama inadaiwa za kutaka kuutorosha mwili wa marehemu, mpaka sasa haijafahamika wazi nani yupo nyuma ya njama hzo wala the motive behind

polisi wamekua undertaker ingekua vyema waonje nao r.i.p ndo wajue ku undertaker watu si vizuri.
 
Saa nyingine busara ndogo tu inaweza kuepusha madhara, kwa hali iliyopo kulitakiwa kutumika busara kuwaeleza wananchi utaratibu wa kufata pale hospital na sio mabomu, na kabla ya kuletwa pale wangeweka utaratibu mzuri wa kufikisha mwili wa ndugu huyu ili kuepusha dhahama na hasira za wananchi

At least wewe tumeongea neno la busara..
Kuna issues zingine police hawatumii busara kabisa, watu wamefiwa wanapeleka mwili wa mpendwa wao alafu police wanawatawanya kwa mabomu.
Ukizingatia kifo cha mawazo lazima tension ntakuwa high kuanzia siku ya kifo Chale hadi siku ya mazishi.so kwa kutumia busara za buree ambazo hauitaj rocket science polisi wangekaa pembeni coz hao wapendwa wa mawazo washajazwa simu kwamba police wa naweza kuwa wameusika kwa namna moja au nyingine.
Nashangaa vitu vyepesi kama hivi hata makamanda wa police wanashindwa kuvielewa.!!
 
IS wakili kuhusika na mashambulizi ya kujitoa muhanga huko Paris Ufaransa
 
Back
Top Bottom