Vurugu Bugando: Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa inadaiwa kakamatwa na Polisi

nadhani iko haya ya somo la busara liwe somo mama ktk mafunzo ya polisi wetu.kuna.mambo mengi yanaleta shida sababu ya mitazamo ya kizamani ya polisi.walau busara kidooooooogo ingeokoa misugiano miiingi nchini.tatizo wanadhani mikwara ndo njia sahihi ya kumdhibiti binadamu wa karne hii

Jeshi linaendeshwa ka la kikolo i busara zero kabisa jambo lakutumia akili kidogo wao wanatumia nguvu na sifa ili kupandishwa vyeo. Hii tabia yao ndo imeanza kuifanya jamii Ku deviate na hii inaenda ikikua kitaratibu.
 
Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA(BAVICHA) Patrobasi Katambi inadaiwa anashikiliwa na polisi, bado tunafatilia sababu za kukamatwa kwake na viongozi wengine, lakini kwa tip iliyopo ni kwamba OCD wa wilaya ya Geita amepigwa vibaya baada ya yeye na polisi wenzake kulazimisha kuingia Mochwari huku mwili ukiwa umeshakabidhiwa hospitali.

Ikiwemo na kutaka kuwatawanya watu waliokuwa wamejitokeza kwa wingi kumsindikiza kamanda Mawazo, pia kuna madai polisi kutaka kufanya njama ya kulazimisha mwili urudishwe Geita, Kamanda Lema yupo eneo la tukio.

Kuna njama inadaiwa za kutaka kuutorosha mwili wa marehemu, mpaka sasa haijafahamika wazi nani yupo nyuma ya njama hizo wala the motive behind.

We dogo ni kaongo kaongo. Nilikublock FB sababu ya taarifa zako za kizushi.
Hakuna ninachoweza kukiamini toka kwako hata siku moja.
 
We dogo ni kaongo kaongo. Nilikublock FB sababu ya taarifa zako za kizushi.
Hakuna ninachoweza kukiamini toka kwako hata siku moja.



Inapotelewa taarifa si lazima uamini,ila taarifa ni taarifa kuthibitisha ni juu yako,then kuniblock Fb kwani ulinipunguzia kitu zaidi ya kuonesha PHD yako ya ujinga,pathetic
 
Nilifahamu Msukuma hawezi kutokuhusika na haya mauaji. Jamaa alikuwa jambazi hatari sana baadae ili asikamatwe akajiingiza kwenye mambo ya siasa za CCM kwa vile ukiwa ccm na ukawa mtoaji wa misaada ya pesa mambo yako yote yanafichwa na kupigiwa magoti. CHADEMA wasipomchomoa huyu mtu basi bora wasilie.

Lameck Airo ana historia inayofanana kwa karibu na ya huyu Msukuma!
 
Jeshi linaendeshwa ka la kikolo i busara zero kabisa jambo lakutumia akili kidogo wao wanatumia nguvu na sifa ili kupandishwa vyeo. Hii tabia yao ndo imeanza kuifanya jamii Ku deviate na hii inaenda ikikua kitaratibu.

Ukiwa polisccm unatakiwa uiache akili yako ccp tu mpaka kufa basi .........................
 
Back
Top Bottom