Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 1,755
- 2,359
Hawa DP sasa inabidi wakupose kabisa mana imekua too muchDP World wana sponsor sana michezo tofauti tofauti nchi nyingi. kwao wana sponsor mpaka Michezo ya fedha nyingi sana.
Nawaonea gere Yanga.
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.