Vunja Bei anaunga-unga, Simba msimpe mkataba

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,238
103,900
Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc

Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake

Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.

Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.

Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni thamani ya mkataba.

Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.

Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
 
Vunja bei ni mhuni tuu , kampuni nyingi za wazawa ni Tia maji Tia maji , tatizo ni kukosa professionalism na uroho wa kutaka Kula faida yote bila kuongeza kiasi ili kuboresha kwenye uwekezaji , mtu anayeuza malonya ya nguo mnampaje kandarasi ya mhimu kama Ile aisee
 
Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc

Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake

Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.

Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.

Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni dhamani ya mkataba.

Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.

Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea
Mkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi.
Asa mwenzako akikosa mkataba wewe unafaidika na nini.
Au uliwai kuingia kiwanjani bila ya jez ya Simba.
 
Umeongea ukweli
 
Mkuu wachawi huaga wanaanza kama hivi.
Asa mwenzako akikosa mkataba wewe unafaidika na nini.
Au uliwai kuingia kiwanjani bila ya jez ya Simba.
Wewe ni wale wale tu. Lete hoja kulingana na hoja zangu. Tunapozungumzia ufanisi tunawekq interest zetu pembeni. Rudi kwenye hoja zangu
 
Hapa uneongea "kitakwimu" jezi za Yanga zinatembea sana na

"kitafiti" jezi za Quality mbovu isiyoendana na hadhi ya klabu

Vilevile "kihasibu" jezi za Yanga zinaobgoza kwa mauzo kuliko za Simba .

Na umehitimisha "kitaalamu" kuwa Vunja Bei asipewe mkataba mpya...
Huo ndio ukweli mchungu. Watu wanasema nina chuki naye lakini wanasahau kuzungumzia sababu nilizotoa
 
Back
Top Bottom