Vote for eddo 2015!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,986
22,173
Naitaji kura zenu kwa huyu mh jamani amenifurahisha speed anazoendlea kupita kilakanisa
na kuwasaidia kwenye ujenzi na mambo mbali mbali zikiwemo shule na mengineyo
ukiwa kama mwana jf kamili get ready

vote for eddo.l 2015
 
Mlisema kwa handasome leo wanaabadilisha ndege!!!mwenye kusoma nyakati na asome
 
Naitaji kura zenu kwa huyu mh jamani amenifurahisha speed anazoendlea kupita kilakanisa
na kuwasaidia kwenye ujenzi na mambo mbali mbali zikiwemo shule na mengineyo
ukiwa kama mwana jf kamili get ready

vote for eddo.l 2015

Sio mzee slaa tena ..... Ama kweli ccm kisima , utazunguka mwisho utarudi tu ... Kuyateka maji ...

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
Nadhani ccm wanahitaji kuangalia nje ya kundi la hao waliopo ktk ulingo wa siasa, kwani naamini kuwa wapo tena wenye uwezo kuliko hata hao tunaowaona ulingoni. Hawahitaji kuuzwa/kunadiwa kwa kuwapitisha wakanisani wala misikitini, bali jamii itawakubali na kuwaunga mkono. tatizo linakuja tu pale hao waliotangulia wameziba milango ya wale wanofaa, huku wakitambua vema yakuwa historia inawanyima kibali cha kuiongoza jamii, ndiyo maana wamejikita makanisani kwa makusudi kwani wanaitambua nguvu ya imani za dini ambavyo waumini huwa hawaoji kinachoendelea bali ni kupokea tuu kila litokalo kwa viongozi wao wa kiroho,mwisho wa siku hushindwa kujipeleleza ili watatue matatizo yao ya kimwili kwa kuweka mifumo inayoamua mistakabali ya mahitaji yao ya kimwili.
Ole wao viongozi wa dini kwa kujua ama kutokujua wanawaongoza kondoo wa bwana kuelekea upotevuni.RAI YANGU KWA VIONGOZI WA DINI, kuna uhusiano wa karibu sana kati ya mwili na roho maana hivi vitu vipo pamoja ktk uhai wa mtu, ninyi kama wahudumia roho hampaswi kutofautishwa na aneye hudumia mahitaji ya kimwili, mnapo amuwa kuwa ma kuwadi wa viongozi wa kushughurikia mahitaji ya kimwili ya hao waumini wenu huku mkijua kuwa kazi hiyo hawataitimiza, basi hata ninyi kazi yenu ya huduma za kuroho hugeuka na kuwa ubatili mtupu nayo haina kibali machoni pa BWANA!
 
Back
Top Bottom