Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Voda eti mnaboresha??upuuzi gani huo si ungenyamaza tu mmeboresha nini kuongeza meseji mb na dakika mmeminya puuzi kabisa unaongea nini, usiwe kama robot tumia akili kujibu maswali kama huna jibu sema tu yamewashinda mmeboresha nini kama happyhour ukiunga tu tayari hata simu hazitoki ,,,akiona thread hii ataanza kuuliza eti natumia simu gani ....unadhani kuna smart phone inaweza furahiwa kwa mb zenu za wizi wizi tu
 
Maboresho hufanyika kwa kuweka kifurushi kingine na sio kile cha awali, kwa sasa tumeboresha kifurushi cha Cheka 899 na pia mteja anaweza kupiga simu BURE Vodacom kwenda Vodacom baada ya dakika ya 3. Tungependa kufahamu eneo ulilopo ambalo ukijiunga na Dakika za Nguvu huwezi kupiga simu na namba yako tafadhali kupitia PM.
 
Vodacom huku UDOM mtu akitaka kujiunga University promotion inasumbua sana hebu fanyen marekebisho
 
Nimehama kitambo baada ya kuniudhi kila nikinunua bundle mtandao nao unazingua na siku ukikubali naandika maumivu....nyie voda wazinguaji sana...mteja kwenu ni ---- na huduma zenu mbovumbovu
 
Mimi nimewachoka na vadacom sasa nipo airtel wao napata dk 15 mb 125 kwa shv499 tu kwa siku na dk 30 mb 300 kwa sh 1000 tu kwa siku ndio kampuni pekee iliyobaki inayo jali wateja wake tigo na wenyewe wamelogwa siku hizi
 
Naombeni vodacom mnitoe kwenye huduma yenu ambayo sijawahi kuiomba ya magazeti. Tafadhali sana
 
Last edited by a moderator:
Nimehama kitambo baada ya kuniudhi kila nikinunua bundle mtandao nao unazingua na siku ukikubali naandika maumivu....nyie voda wazinguaji sana...mteja kwenu ni ---- na huduma zenu mbovumbovu
Pole sana kwa tatizo ulilokumbana nalo na kwetu sisi mteja ni mfalme, huduma yetu imejengwa katika mising hiyo. Utatuzi wa changamoto yoyote huhusisha kupeana taarifa kwa pande zote mbili.
 
Kama ambavyo ukifanikiwa kununua kifurushi ukaambiwa umefanimisha basi kikiisha tupeane taarifa. Hii inatokea umejiuga university promotion kifurushi kikiisha kimyaa mpaka mnakomba na kasalio ka kubip.
Hivi mnafikiri tutakaa kuangalia salio linaisha sa ngapi!!! Badirikeni
 
Hivi VODACOM mna matatizo gani? Mimi sijajiunga na hiyo NIPASHE mnanitumia habari na kukata salio langu. Hebu acheni ujinga, huu ni wehu.
 
Back
Top Bottom