Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Aug 20, 2012 #1 Nimesikia hili neno sana atika hotuba ya waziri wa kilimo, ushirika na chakula, nidadavulieni wakuu
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Aug 20, 2012 Thread starter #3 King'asti nashukuru sana King'asti said: Herbicides Click to expand...
georgeallen JF-Expert Member Jun 3, 2011 4,118 1,868 Aug 20, 2012 #4 pesticides = (insecticides , fungicides)
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,810 15,398 Aug 20, 2012 #5 King'asti said: Herbicides Click to expand... Mwanangu hilo sio tusi kweli.....?
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Aug 23, 2012 #6 Amavubi said: King'asti nashukuru sana Click to expand... Amavubi, samahani naona nimekuingiza chaka. Viautilifu ni Pesticides kama ulivyoambiwa hapo juu, herbicides ni kwa ajili ya kuua magugu. Mtambuzi baba yangu, hilo sio tusi. Sema tu wakati wewe ukisoma lilikuwa halina umuhimu maana tabia nchi ilikuwa haijaanza kutunyoosha. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi said: King'asti nashukuru sana Click to expand... Amavubi, samahani naona nimekuingiza chaka. Viautilifu ni Pesticides kama ulivyoambiwa hapo juu, herbicides ni kwa ajili ya kuua magugu. Mtambuzi baba yangu, hilo sio tusi. Sema tu wakati wewe ukisoma lilikuwa halina umuhimu maana tabia nchi ilikuwa haijaanza kutunyoosha.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Aug 24, 2012 Thread starter #7 shukrani zaidi sana, bado nilikua sijaathirika kwa lile la awali King'asti said: Amavubi, samahani naona nimekuingiza chaka. Viautilifu ni Pesticides kama ulivyoambiwa hapo juu, herbicides ni kwa ajili ya kuua magugu. Mtambuzi baba yangu, hilo sio tusi. Sema tu wakati wewe ukisoma lilikuwa halina umuhimu maana tabia nchi ilikuwa haijaanza kutunyoosha. Click to expand...
shukrani zaidi sana, bado nilikua sijaathirika kwa lile la awali King'asti said: Amavubi, samahani naona nimekuingiza chaka. Viautilifu ni Pesticides kama ulivyoambiwa hapo juu, herbicides ni kwa ajili ya kuua magugu. Mtambuzi baba yangu, hilo sio tusi. Sema tu wakati wewe ukisoma lilikuwa halina umuhimu maana tabia nchi ilikuwa haijaanza kutunyoosha. Click to expand...
G GMBDC Member Aug 13, 2012 14 0 Aug 24, 2012 #8 Amavubi said: shukrani zaidi sana, bado nilikua sijaathirika kwa lile la awali Click to expand... nini utafauti kati VIUADUDU NA VIATILIFU
Amavubi said: shukrani zaidi sana, bado nilikua sijaathirika kwa lile la awali Click to expand... nini utafauti kati VIUADUDU NA VIATILIFU
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Aug 24, 2012 Thread starter #9 King'ast atakuja na jibu GMBDC said: nini utafauti kati VIUADUDU NA VIATILIFU Click to expand...
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Aug 25, 2012 Thread starter #11 Huenda sisi wenyewe ndio tuna-kigumisha[QUOTE=pmwasyoke;4492875]Kumbe Kiswahili ni kigumu![/QUOTE]