.......................Viwatil ifu...............???

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Nimesikia hili neno sana atika hotuba ya waziri wa kilimo, ushirika na chakula, nidadavulieni wakuu
 
shukrani zaidi sana, bado nilikua sijaathirika kwa lile la awali
Amavubi, samahani naona nimekuingiza chaka. Viautilifu ni Pesticides kama ulivyoambiwa hapo juu, herbicides ni kwa ajili ya kuua magugu.

Mtambuzi baba yangu, hilo sio tusi. Sema tu wakati wewe ukisoma lilikuwa halina umuhimu maana tabia nchi ilikuwa haijaanza kutunyoosha.
 
Huenda sisi wenyewe ndio tuna-kigumisha[QUOTE=pmwasyoke;4492875]Kumbe Kiswahili ni kigumu![/QUOTE]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom