Viwanja na Nyumba
Member
- Apr 4, 2012
- 56
- 3
- Thread starter
- #61
mekuuliza muanzisha thread
nimejibiwa na mwingine
sijui ndo wewe mtu mmoja au nielewe vipi?
The Boss, aliyekujibu hakukosea ndio maana nikawa kimya. Kazi ya upimaji viwanja inafanyika kupitia watendaji mahiri tunaoshirikiana nao kwa karibu sana.
Karibuni wote, 'Viwanja na Nyumba'