Viwanja na Nyumba

7km kutoka highway ni umbali mzuri kwa uwekezaji katika kilimo. Naomba unitext bei yako ya mwisho kwenye namba yetu hapo juu, na ukiweza kuatach scanned copy ya hati ya mauziano yenye mhuri wa kijiji, tuma kwa email plz. Asante sana.

sawa nakutumia soon...
 
Nauza shamba ukumbwa wa ekari moja lipo maeneo ya maji ya chai pembeni ya moshi to arusha road.

Bravo Pendael, ni umbali gani toka main rd, shamba lina mazao ya kudumu, je kumejengwa banda lolote hapo au liko plain, bei yake?

Tutumie picha ya shamba na copy ya hati ya miliki kupitia email address yetu hapo juu, ili kuvutia wateja. Thanks, 'Viwanja na Nyumba'
 
Viwanja na Nyumba

are you serious with your business .....nimewatumia e-mail tangu jana but with no avail .... no reply neither no any acknowledgement ... sijui mna maana gani au mnafurahisha watu tuu humu jf
 
Shamba la eka7 linauzwa, liko Mbezi Msumi, 6km kutoka Mbezi mwisho. Limepimwa ila halijapata hati, lina minazi na miembe, kuna bonde lenye maji msimu wote. Bei ni tsh. 120mil. Kuna banda kubwa la ng'ombe.

Kama unahitaji tuwasiliane plz. Asante, 'Viwanja na Nyumba'
 
Viwanja na Nyumba

are you serious with your business .....nimewatumia e-mail tangu jana but with no avail .... no reply neither no any acknowledgement ... sijui mna maana gani au mnafurahisha watu tuu humu jf

LAT, much respect. We're working hard even during odd hours and on holidays, surely some members can testify! If you sent us email using correct address you must have received our response, otherwise check your inbox and re-send your email to: viwanjanyumba@gmail.com

Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako, karibu.

'Viwanja na Nyumba'
 
at least something had come out .... let me see

i have already resend e-mail .... awaiting your feedback
 
Kwa niaba ya 'Viwanja na Nyumba' napenda kuwatakia wakristo wote na watanzania kwa ujumla heri ya sikukuu ya pasaka.

Asanteni, 'Viwanja na Nyumba'.
 
Wakuu mm nilitaka kununua kiwanja sehem moja kigamboni, Ukfika pale kibada, njia ya kuelekea Dar es salaam zoo, unaenda kama km 2 hivi, sehem haijapimwa, ni mashamba ya mtu, hiyo sehem imepakana na shamba la mtoto mmja wa Alhaj Mwinyi, ila kabla ya kulipa nipata hofu ya maneno meengi, mara oh, wamepigwa picha, mara watalipwa fidia hivi karibuni ili maeneo yapimwe! Unanisaidiaje??
 
LAT, much respect. We're working hard even during odd hours and on holidays, surely some members can testify! If you sent us email using correct address you must have received our response, otherwise check your inbox and re-send your email to: viwanjanyumba@gmail.com

Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako, karibu.

Excellent Customer Service,Keep It Up,u must be matured and informed!!
 
Looking for a decent property near state house, e.g. Ocean road, seaview, or around gymcana area. Price must range from 500million to 1.2billion depending on structure available.
 
Wakuu mm nilitaka kununua kiwanja sehem moja kigamboni, Ukfika pale kibada, njia ya kuelekea Dar es salaam zoo, unaenda kama km 2 hivi, sehem haijapimwa, ni mashamba ya mtu, hiyo sehem imepakana na shamba la mtoto mmja wa Alhaj Mwinyi, ila kabla ya kulipa nipata hofu ya maneno meengi, mara oh, wamepigwa picha, mara watalipwa fidia hivi karibuni ili maeneo yapimwe! Unanisaidiaje??

Nakushauri ufike ofisi ya afisa mtendaji wa kata ya eneo la Kibada upate uhakika. Kigamboni area iko 'earmarked' kwa ujenzi wa mji mpya chini ya wawekezaji toka marekani, hivyo all would be buyers 'beware'.

Karibuni mnunue na kuuza kupitia 'Viwanja na Nyumba' kwa halali na kuepuka kutapeliwa. Asanteni.
 
Tunahitaji viwanja maeneo ya Kinyerezi, Kibaga, Zimbiri na maeneo ya jirani. Viwe vimepimwa au squatters ila visiwe na migogoro, aliye tayari kuuza ajitokeze. Karibuni, 'Viwanja na Nyumba'
 
LAT, much respect. We're working hard even during odd hours and on holidays, surely some members can testify! If you sent us email using correct address you must have received our response, otherwise check your inbox and re-send your email to: viwanjanyumba@gmail.com

Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako, karibu.

Excellent Customer Service,Keep It Up,u must be matured and informed!!

Thanks for the compliment, 'VIWANJA NA NYUMBA'
 
Nina nyumba Mwanza mjini wilaya ya ilemela ina vyumba vitano,mabafu matatu,toilet tatu,jiko,stoo,dinning,sebule kubwa, na floor moja yenye rum kubwa sana self na stoo parking kubwa inafensi gari tano ndogo zinapaki,tank la lita 10,000 la maji limesmamishwa juu,veranda mbili juu na chini bei M130. Maongezi yapo.

Very attrative property, tuma picha mbili tatu ili kuvutia wateja wengi zaidi. Asante, 'VIWANJA NA NYUMBA'
 
Kiwanja kinahitajika Dodoma mjini, yeyote mwenye kiwanja chake anataka kukiuza tuwasiliane mapema iwezekanavyo.

Asante, 'VIWANJA NA NYUMBA'
 
mekuuliza muanzisha thread
nimejibiwa na mwingine
sijui ndo wewe mtu mmoja au nielewe vipi?
 
Back
Top Bottom