Vituko vingine vimetokea ligi ya wanawake Tanzania

bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
9,166
20,056
SIMBA QUEENS WAPO CHAMAZI JKT QUEENS WAPO MBWENI ...

Leo Kuna Sintofahamu Kubwa Katika Mchezo Huu Wa Leo Simba Queens Vs Jkt Queens
Simba Queens Wapo Chamazi Wakiwasubiri Jkt Queens.

1. Wao Wanasema Wanafata Ratiba Ya Tff Iliyotoka Jana Na Wana Kauli Mbiu Yao Kabisa Ambayo Wanaitumia Leo #TwenzetuChamazi

Jk Queens Wapo Mbweni Wakiwasubiri Simba Queens.

1.Wao Wanasema Uwanja Wao Wa Nyumbani Ni Isamhuyo Na Sio Chamazi

2.Ratiba Ilikuwa Mchezo Ufanyike Isamhuyo Na Ndio Ratiba Inataka Hivyo

3.Ratiba Ya Chamazi Ndio Kwanza Wameisikia Jana Hivyo Hawako Tayari Kuyumbishwa ...

Maoni Yangu Ni Kwamba Tff Walishajioroga Tangu Mwanzo Wa Maana Hiyo Kikubwa Ratiba Ya Mwanzo Ifatwe Na Mwenyeji Wa Mchezo Apewe Haki Yake Kama Mwenyewe Uchagua Anataka Kucheza Wapi ...

Hadi Muda Huu Sina Imani Kama Mchezo Huu Utafanyika Tena Asilimia Ni 70% Kwa 30%
 
TFF wanakuwaga wapuuzi sana muda mwingine, huo mchezo waliujua siku nyingi kwamba utafanyika uwanja wa isamhuyo na kwenye ratiba ilijulikana ivyo kwanini waamishe mechi siku moja kabla?

Wana ajenda Gani ya Siri hapo? Jkt nawapongeza kwa msimamo wao wanajua wako kwenye haki TFF waache kutumika kijingajinga na vita ninayoiona hapo ni inatakiwa jkt wadondoshe point ili Simba azidi kwenda juu kuwarahisishia ubingwa hii aikubaliki!
 
Wagawane pwenti...
Sheria hizi hapa
1704814262183.jpg
 
SIMBA QUEENS WAPO CHAMAZI JKT QUEENS WAPO MBWENI ...

Leo Kuna Sintofahamu Kubwa Katika Mchezo Huu Wa Leo Simba Queens Vs Jkt Queens
Simba Queens Wapo Chamazi Wakiwasubiri Jkt Queens.

1. Wao Wanasema Wanafata Ratiba Ya Tff Iliyotoka Jana Na Wana Kauli Mbiu Yao Kabisa Ambayo Wanaitumia Leo #TwenzetuChamazi

Jk Queens Wapo Mbweni Wakiwasubiri Simba Queens.

1.Wao Wanasema Uwanja Wao Wa Nyumbani Ni Isamhuyo Na Sio Chamazi

2.Ratiba Ilikuwa Mchezo Ufanyike Isamhuyo Na Ndio Ratiba Inataka Hivyo

3.Ratiba Ya Chamazi Ndio Kwanza Wameisikia Jana Hivyo Hawako Tayari Kuyumbishwa ...

Maoni Yangu Ni Kwamba Tff Walishajioroga Tangu Mwanzo Wa Maana Hiyo Kikubwa Ratiba Ya Mwanzo Ifatwe Na Mwenyeji Wa Mchezo Apewe Haki Yake Kama Mwenyewe Uchagua Anataka Kucheza Wapi ...

Hadi Muda Huu Sina Imani Kama Mchezo Huu Utafanyika Tena Asilimia Ni 70% Kwa 30%
Pre match meeting ilifanyika?
Sababu za TFF kusema mechi ichezwe chamazi ni nini?ama hazikutolewa?
Waamuzi walioenda kichezesha walienda wapi? kama walikuwa chamazi,kwa nini walikuwa huko?
Viongozi wa JKT walikataa lini kwenda chamazi,leo ama tangu jana kwenye kikao cha pre match?
 
Maswali mazuri mnooooo!
 
Back
Top Bottom