bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,262
- 20,215
SIMBA QUEENS WAPO CHAMAZI JKT QUEENS WAPO MBWENI ...
Leo Kuna Sintofahamu Kubwa Katika Mchezo Huu Wa Leo Simba Queens Vs Jkt Queens
Simba Queens Wapo Chamazi Wakiwasubiri Jkt Queens.
1. Wao Wanasema Wanafata Ratiba Ya Tff Iliyotoka Jana Na Wana Kauli Mbiu Yao Kabisa Ambayo Wanaitumia Leo #TwenzetuChamazi
Jk Queens Wapo Mbweni Wakiwasubiri Simba Queens.
1.Wao Wanasema Uwanja Wao Wa Nyumbani Ni Isamhuyo Na Sio Chamazi
2.Ratiba Ilikuwa Mchezo Ufanyike Isamhuyo Na Ndio Ratiba Inataka Hivyo
3.Ratiba Ya Chamazi Ndio Kwanza Wameisikia Jana Hivyo Hawako Tayari Kuyumbishwa ...
Maoni Yangu Ni Kwamba Tff Walishajioroga Tangu Mwanzo Wa Maana Hiyo Kikubwa Ratiba Ya Mwanzo Ifatwe Na Mwenyeji Wa Mchezo Apewe Haki Yake Kama Mwenyewe Uchagua Anataka Kucheza Wapi ...
Hadi Muda Huu Sina Imani Kama Mchezo Huu Utafanyika Tena Asilimia Ni 70% Kwa 30%