JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 499
Unajua Huyu jamaa kaleta hii mada sababu anajua CDM ndio wanaongoza serikali iliyo madarakaniKama kipengele cha dini ndio mapungufu ya zoezi la sensa basi Chadema tulikuwa na kila sababu ya kuunga mkono zoezi la sensa.Kama kuna dini yoyote inataka kujua idadi ya waumini wake ipitishe zoezi la sensa kwenye nyumba zake za ibada.