zoezi la sensa kama ulivyo sema , kwamba watu wengi haajawaona hao makarani wa sensa, ni kwamba tume yenyewe ya kuhesabu watu ndio imeliharibu hili zoezi, sasa hapa inabidi tuangalie hao wateuliwa (makamishana walikuwa na sifa zinazo faa) au waliteuliwa mahususi kuharibu hili zoezi.Mkuu mbona unakuwa kipofu?
Hujasikia kuna walimu wameondolewa kwenye zoezi la ukarani kwa kuwa walishiriki mgomo?
Hujasikia taarifa za ubadhirifu, watu hawajalipwa posho zao?
Hujasikia idadi kuwa ya watu hadi leo hawajawaona hao so called makarani?
Hujasikia kuna upungufu mkubwa wa vifaa kama dodoso,sare e.t.c.
Hii imetokea leo katika mahakama iliyopo ifakara mjini, hakimu baada ya kuwasomea kesi waislam waliogoma kuhesabiwa, amewawekea dhamana yeye mwenyewe ya sh 500,000 kila mmoja ili kuepusha shari ya waumini waliokuwa wakiongezeka kwa kasi mahakamani, Sambamba na hilo, waumini hao ambao weni wanatoka kiberege na mang'ula walipewa usafili wa bure wenye uhakika kurejea makwao. Kesi imehairishwa hadi tarehe 10 october.
kituko kingine hawamkamati sheikh ponda wanakamata wafuasi vs " wanafungia mwanahalisi kwa kuandika ukweli ,hawafungii redio amani inayogomea sensa
ila hapo napo panatia mashaka!!Ponda aliye sababisha yote hayo yupo anadunda mitaani na hajahesabiwa wanakamatwa watu wa huko mbaliii.