Vituko mahakamani: Kesi ya waliogomea sensa, Hakimu awa mdhamini wa washitakiwa

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Hii imetokea leo katika mahakama iliyopo ifakara mjini, hakimu baada ya kuwasomea kesi waislam waliogoma kuhesabiwa, amewawekea dhamana yeye mwenyewe ya sh 500,000 kila mmoja ili kuepusha shari ya waumini waliokuwa wakiongezeka kwa kasi mahakamani, Sambamba na hilo, waumini hao ambao weni wanatoka kiberege na mang'ula walipewa usafili wa bure wenye uhakika kurejea makwao. Kesi imehairishwa hadi tarehe 10 october.
 
Kwanini Pro-CDM wameunga mkono zoezi la sensa kwa mbwembwe bila kujali mapungufu makubwa yaliyokuwemo hasa baada ya waislam kugomea zoezi?

Chadema haijaunga mkono upuuzi wa kugomea sensa, taja wapi na lini Chadema wameunga mkono? lugha yako ni ya CCM kila wakishindwa kitu basi limesababishwa na CDM
 
Kama kipengele cha dini ndio mapungufu ya zoezi la sensa basi Chadema tulikuwa na kila sababu ya kuunga mkono zoezi la sensa.
Kama kuna dini yoyote inataka kujua idadi ya waumini wake ipitishe zoezi la sensa kwenye nyumba zake za ibada.
 
Hii sensa ya mwaka huu bure kabisa......serikali ingeahirisha tu !
...Sio kuahirisha ilitakiwa kufutwa tu...Hapo tumewapa upenyo Magamba wa kuchakachua mapesa kwa kisingizio cha sensa ndio maandalizi ya uchaguzi 2015....:ranger:
 
Chadema vigeugeu sana. Yaani wameacha zoezi lenye mapungufu kama hili la sensa liendelee?
 
kituko kingine “ hawamkamati sheikh ponda wanakamata wafuasi” vs " wanafungia mwanahalisi kwa kuandika ukweli ,hawafungii redio amani inayogomea sensa ”
 
...Sio kuahirisha ilitakiwa kufutwa tu...Hapo tumewapa upenyo Magamba wa kuchakachua mapesa kwa kisingizio cha sensa ndio maandalizi ya uchaguzi 2015....:ranger:

Na wameyachakachua haswa Sajenti.......mie kuna mtu nilimwambia hii sensa CCM wanaitumia kuchota mahela kwaajili ya uchaguzi ujao akanibishia......bora na wewe umeona hivyo.......ndio maana pamoja na mizengwe yote iliyojitokeza bado tu serikali imeamua ifanyike......kwa mwenye busara angeifutilia mbali kabisa lakini sio hii serikali yetu dhaifu.....imezoea kuiba kila kukicha!
 
Last edited by a moderator:
Chadema vigeugeu sana. Yaani wameacha zoezi lenye mapungufu kama hili la sensa liendelee?

Kweli akili za ccm zimeshuka beyond datum! Kila kitu sasa cdm ndio wanaulizwa hata kama kinasimamiwa na serikali ya ccm! Pole switi Radhia!
 
Hii imetokea leo katika mahakama iliyopo ifakara mjini, hakimu baada ya kuwasomea kesi waislam waliogoma kuhesabiwa, amewawekea dhamana yeye mwenyewe ya sh 500,000 kila mmoja ili kuepusha shari ya waumini waliokuwa wakiongezeka kwa kasi mahakamani, Sambamba na hilo, waumini hao ambao weni wanatoka kiberege na mang'ula walipewa usafili wa bure wenye uhakika kurejea makwao. Kesi imehairishwa hadi tarehe 10 october.

Nahisi mgomo wa waislam unabaraka za viongozi wa juu serikalini.!
 
kama watu wangemsikiliza Tundu lisu na kumwelewa tusingekuwa na mawakili, majaji na mahakimu vihio
 
kituko kingine " hawamkamati sheikh ponda wanakamata wafuasi" vs " wanafungia mwanahalisi kwa kuandika ukweli ,hawafungii redio amani inayogomea sensa "

bila shaka umeona gazeti la alnuur linavyosokomeza vidole machoni huku wale wale wanaliofungia Gazeti la Mwanahalisi wakikenua meno yao machafu...!
 
Kama kipengele cha dini ndio mapungufu ya zoezi la sensa basi Chadema tulikuwa na kila sababu ya kuunga mkono zoezi la sensa.
Kama kuna dini yoyote inataka kujua idadi ya waumini wake ipitishe zoezi la sensa kwenye nyumba zake za ibada.

Mkuu mbona unakuwa kipofu?

Hujasikia kuna walimu wameondolewa kwenye zoezi la ukarani kwa kuwa walishiriki mgomo?
Hujasikia taarifa za ubadhirifu, watu hawajalipwa posho zao?
Hujasikia idadi kuwa ya watu hadi leo hawajawaona hao so called makarani?
Hujasikia kuna upungufu mkubwa wa vifaa kama dodoso,sare e.t.c.
 
mi niligoma mapema kabisa..na si muislam hapana..its just sioni tija yake kwa maisha yangu ya kawaida..
 
Chadema vigeugeu sana. Yaani wameacha zoezi lenye mapungufu kama hili la sensa liendelee?

Ukianzia na waislamu wenyewe, na njaa njaa zao. Hao ndo vigeu geu vya kutupwa. Walikataa mwanzo, from no where wakakubali.
 
Kwanini Pro-CDM wameunga mkono zoezi la sensa kwa mbwembwe bila kujali mapungufu makubwa yaliyokuwemo hasa baada ya waislam kugomea zoezi?

Chadema haijaunga mkono upuuzi wa kugomea sensa, taja wapi na lini Chadema wameunga mkono? lugha yako ni ya CCM kila wakishindwa kitu basi limesababishwa na CDM
Ukizoea kupenda kumtupia lawama za kushindwa kwako jirani, hata mkeo akishindwa kupata ujauzito utamlaumu jirani huyohuyo.
 
Back
Top Bottom