Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 281
Kila binadam ana sir...mwaga za kwako umekwisha... mfanie lolote mwenzi wako ila epuka majeraha ya ki-hisia(emotional abuse)... !!Je mwanamme au mwanamke anapaswa kumwambia mpenzi wake kila kitu au kuna mipaka ya kuangalia? kwamba kuna baadhi ya vitu ni "no no"? Je kumwambia mwenzako kila kitu ni kitu kizuri au unaweza kujikuta unajichongea au unajiweka mahali pa kuulizwa maswali mengine mengi.