Vitu gani mwanamme/mwanamke asimwambe mk/me/mpenzi wake?

Kamwe usithubutu kuongea sex life yako nje ya huyo mwenzi wako, make either itakurudia kwa maneno, au utalipiziwa kisasi ohoo. Hata kama ikitokea umefumaniwa guest, kataa na komaa tu sema ulienda kutafuta choo cha kujisaidia, ukikiri tu umekwisha
 
Nafikiri kuna vitu vya msingi lazima viwe wazi. Yale mambo muhimu tu but others yawe siri.
 
....kuna vitu mkono wa kulia ukifanya hata wa kushoto haustahili jua....
Iweje mwenzi wako afaham all... NEVER..
 
inshort ni kuwa hata saa nyingine mtu huwa unapumua(jamba ka ushuzi) na hata pua hazisikii harufu bt mwili wako unakuwa unajua umefanya nini,kama effect ya harufu ikiwa kali then pua zna-sense na kugundua fasta na hata jirani aweza bana pua au piga chafya!!

point kuu hapo ni kuwa kama jambo ni dogo sna na halina madhara na ambalo haliwez kuvunjia heshima mbele za watu hulazimiki kusema kwani ni jst a small issue( vijana wa mjmjini tunasema sio issue)!!

kama jambo ni kubwa na lina madhara basi wapaswa kumwambia mwenzio ili kama kitu kibaya na kigumu kikitokea awe anajua na mjipange jinsi ya kukitatua,na kama hutaki sema basi hakikisha mazingira ya tendo hilo ulilolifanya kwa siri hayatakuja kukuonyesha/thibitisha kuwa ni wewe so even event ikifumuka you can deny and pretending as if is a strange think to you kumbe wahusika!! Cha msingi mwenzio asidhurike na hilo tendo tu!!
 
Mi nadhani hii kitu inategemea na jinsi mlivyo na hatua ya uhusiano wenu...
Kuna watu hawajali sana umwambie usimwambie ni shauri yako, yaani wengine wanasema " tunapoanza na wewe ndio historia yetu inapoanzia, sitaki kujua huko nyuma umefanya nini na umepitia nini..."

Hivyo ni muhimu kumsoma mwenzio ni wa namna gani kabla ya kueleza au kumezea mambo ya historia yako...!

Kwa sisi wenye wivu huwa tunawashwa kutaka kujua mengi, matokeo yake ni "kuku ukimchunguza sana....... loh"

Lol
 
kama una dili unafanya usimwambie mwanamke siku mkigombana ahatjali nani yupo anasikia ni atatema yote waziiiiiii

Pia kamwe kutokubali umeiba nje hata kama anajua na unajua anajua kataa tuuuuu maana ni kumuumiza roho. ngumu haya ukamatwe live eehhhhh utaongea mengine hapo
 
Mi nadhani hii kitu inategemea na jinsi mlivyo na hatua ya uhusiano wenu...
Kuna watu hawajali sana umwambie usimwambie ni shauri yako, yaani wengine wanasema " tunapoanza na wewe ndio historia yetu inapoanzia, sitaki kujua huko nyuma umefanya nini na umepitia nini..."

Hivyo ni muhimu kumsoma mwenzio ni wa namna gani kabla ya kueleza au kumezea mambo ya historia yako...!

Kwa sisi wenye wivu huwa tunawashwa kutaka kujua mengi, matokeo yake ni "kuku ukimchunguza sana....... loh"

Lol

. . . . . unamla ukiwa unajua unakula nini."

LolZz
 
Kama ni mpenzi tu ambae huna uhakika na mtakapofika unaweza ukalimit unayomwambia ili usije ukakuta mambo yako yanajulikana kila kona. . . Ila mkishaamua mnaingia ndoani na mipango ya kuwa na watoto ikiwepo kwakweli binafsi sioni kama kuna lakuficha maana mengi yanaweza yakaja mhusu mwenzio pia. Yawe ya kifamilia au binafsi.

sioni maana kumficha mtu jambo, maana ukimueleza mambo yako ataelewa jinsi yakuish nawewe na hata akifanya kosa mkaachana itakuwa ni juu yake bila lawama. Si mnajua zile habari za 'ooh! Nilikuwa sijui kama hupendagi'
 
kwakweli inategemea na mapenzi yenu yalivyo........
1.kuna mapenzi ,zaidi ya kuwa wapenzi mnakuwa marafiki sana na mnaelewana sana inafikia mahali you all confess to your past experience kiasi kwamba some you take them as jokes.
2.kuna mapenzi mtu anaona kuwa sasa your looking for the future na kila mmoja analake kifuani kwahiyo mtu anaona atoe tu kwa kadri atakavyoona yeye inafaa.
3.kuna wale ni wadadisi sana mko kwenye uhusiano unaulizwa maswali mengi sana ambayo inabidi uyajibu kwa kadri unavyoona inafaa kulingana na uelewa wa huyo mtu(ila ubaya wake uulizwe halafu udanganye siku aje kujua ukweli ,patachimbika sana)
4.kuna wale ambao si waelewaji kulingana na ulivyomsoma ,huwezi kumwambia hata hiyo kidogo.
5.kuna wale ambao ni too much open guy/lady yeye hukueleza tu ukweli no matter what will happen.

Smart thinking...safi sana
 
Back
Top Bottom