Vitu gani mwanamme/mwanamke asimwambe mk/me/mpenzi wake?

Je mwanamme au mwanamke anapaswa kumwambia mpenzi wake kila kitu au kuna mipaka ya kuangalia? kwamba kuna baadhi ya vitu ni "no no"? Je kumwambia mwenzako kila kitu ni kitu kizuri au unaweza kujikuta unajichongea au unajiweka mahali pa kuulizwa maswali mengine mengi.
Kila binadam ana sir...mwaga za kwako umekwisha... mfanie lolote mwenzi wako ila epuka majeraha ya ki-hisia(emotional abuse)... !!
 
Je mwanamme au mwanamke anapaswa kumwambia mpenzi wake kila kitu au kuna mipaka ya kuangalia? kwamba kuna baadhi ya vitu ni "no no"? Je kumwambia mwenzako kila kitu ni kitu kizuri au unaweza kujikuta unajichongea au unajiweka mahali pa kuulizwa maswali mengine mengi.

mh kumbe nawewe upo katika sekta hii me nilijua ni siasa tu..makubwa
 
Kwa nini kumwambia "nliwahi kubakwa" iwe ni no no no?

Kwa nini kumwambia "nliwahi kubakwa" iwe ni no no no?

u know,hamuwez kuishi bila makwazo katika Relationship yoyote,kwani no one is perfect,sasa basi,siku mkakwazana,i min mkagombana kwa mfano..akaropoka wapi wewee, hoya hoya tu,au ndomana ulibakwa,au mal.a.ya..wewe,utajckiaje na wewe ukute kile kitendo kilikuuma mnoo,.hw wud u feel?utampenda tena ata kama ataomba msamaha?
 
Ukiwa na nyumba ndogo utamwambia kweli???
au kama umempa mimba mwanamke mwingine au nje ya ndoa utamwambia kweli??
mi naona kuna baadhi ya mambo sio lazima umwambie mwenzi wako.
 
Ni vema kuwa mkweli kuanzia mwanzoni japo hili linateagemea na mhusika,
Watu wengine hawaeleweki wana tempa za ajabu,so ni lzm kumtafutia timing nzuri kumfahamisha ili akubali mwenyewe au akiona vp achape mwendo mapema na kuwapisha wengine!
 
Maongezi yote yanatakiwa kuzingatia mazingira tu. Kama mazingira yanaruhusu sidhani kama kuna mipaka kati ya wapenzi.
 
Mfano msichana ilishawai kufanya abortion huko nyuma
Unaweza kusema hili kweli kwa mpenzi/mume wako?
Pls msinihusishe na hilo ni maoni tu wakuu

Nafikiri ni busara sana kumwambia kila kitu kuliko baadae unajikuta siri imebumburuka hata kuikana huwezi. Kwa mfano. Wanawake wanaofanya abortion halafu wanakaa kimya kumbe wakati wanafanyiwa kuna vitu vilitolewa, unamuingiza mkenge mwenzako mko kwenye ndoa, watoto hawatokei.

Watoto wa mazoezi, hamuwasemi baadae wanakuwa tatizo. Kusema is better kuliko ayakute njiani na ukiulizwa unakubali.
 
Je mwanamme au mwanamke anapaswa kumwambia mpenzi wake kila kitu au kuna mipaka ya kuangalia? kwamba kuna baadhi ya vitu ni "no no"? Je kumwambia mwenzako kila kitu ni kitu kizuri au unaweza kujikuta unajichongea au unajiweka mahali pa kuulizwa maswali mengine mengi.

Funguka braza ulitaka kumwambia nini shem.,then wadau wakukanye au wakupe go ahead
 
Asikuambie mtu inauma sana, mimi ni mfano hai! Niliambiwa issue Mpaka Leo naumia! Natamani nisingejua! Sina jinsi na bado nipo kwenye hayo mazingira na haitoki kichwani Kila nakutana na jamaa!
 
Kama ni mpenzi tu ambae huna uhakika na mtakapofika unaweza ukalimit unayomwambia ili usije ukakuta mambo yako yanajulikana kila kona. . . Ila mkishaamua mnaingia ndoani na mipango ya kuwa na watoto ikiwepo kwakweli binafsi sioni kama kuna lakuficha maana mengi yanaweza yakaja mhusu mwenzio pia. Yawe ya kifamilia au binafsi.
 
Huwez kumwambia kila kitu..khaaa, privacy is needed sometimes..Et umwambie nliwahi kubakwa,.au mama yangu mchawi..au mama yako alishawahi kutembea na baba yangu.. Au rafik yako alinitongozaga n'kamkubalia...lool umwambie vyote umezaliwa nae..aaah wapi..Mapenzi yapo ila c kihvyo..utaonekana mwehu..utadhalilika!
Shost siri ni muhimu kwa mme au mke,imagine mumeo anakwambia alishawahi kufumaniwa akaliwa tigo hata kama ni ten years back utakuwa unamwona choko tu hata kama ni shabab kiasi gani.
 
Mara nyingi ni bora kua muwazi mapema sana ili akujue mapema hataki asepe anataka aku support... Ila mambo ya familia mengine ni muhimu kutomwambia.... Kuna mengine ni aibu mno.
 
Huwez kumwambia kila kitu..khaaa, privacy is needed sometimes..Et umwambie nliwahi kubakwa,.au mama yangu mchawi..au mama yako alishawahi kutembea na baba yangu.. Au rafik yako alinitongozaga n'kamkubalia...lool umwambie vyote umezaliwa nae..aaah wapi..Mapenzi yapo ila c kihvyo..utaonekana mwehu..utadhalilika!

Utadhalilika zaidi siku atapojua haya yote kupitia hao haoa unaowaprotect!
 
Usimwmbie mumeo/mkeo/mpenzio juu ya mahusiano yako ya awali, hasa kumsifia X- wako.
Kwa mwananke usimwambie mumeo ofa unazopewa ofisini mf.lunch/chai(katkika mazingira ya kupeana kampani kwenda kula chakula au chai)

Usimwambie mumeo jinsi unavyotongozwa ofisini aidha na boss au staff wengine.
Usimwambie mumeo jinsi unavyosifiwa na wanaume wengine kwa uzuri/mwonekano n.k

Umesema kweli mkuu!
 
tatizo la kusema kila kitu siku mkigombana mwenzio out of anger atakulipua.....'mwone umalaya kama mama yako'.....'nilijua tu hovyo tu like father like son huwezi tunza watoto wewe'.
 
Maongezi yote yanatakiwa kuzingatia mazingira tu. Kama mazingira yanaruhusu sidhani kama kuna mipaka kati ya wapenzi.

Usije ukasema pia vigezo na masharti lazima vizingatiwe. Mtu unaweza kujisahau hivi hivi.
 
angalia mtu mwenyewe yukoje na jambo utakalokuwa unamwambia,mana baada ya kutengeneza unaweza ukaharibu kabisa
 
Back
Top Bottom