Vitoto vya kibongo kumbe vitamu

Hehehe! Ntakuja internet tu-surf wote manake nusu saa minimum siku hizi!
Afu nimekacheki kajamaa kenyewe fb, hakalipi wala nini! Gggrrr! Where ar the juicy-meaty men wanaochunika?
bahati yako natumia TECNO wewe...ningekugongea bonge la LIKE...hata ivyo kesho ntaenda internet kef kwa ajili yako!...jukwaa la vichaa muhimu!
 
dah nchi ipo hatarini, km alshababu mmpo mpaka huko tigo inabidi mwema ss ajulishwe
 
Mungu Anasema anaefanyadhambi
Akicheka basi..........

Mtu amalizie..... Mungu akuongoze.
 
Mimi natafuna dada yako wa kisonjo na tulipanga kuoana wazazi wake wakachomoa kisa eti ni mswahili
ukiona wafaidi na wenzio pia wafaidi kudadadeki
 
We msomali? Kuna umuhimu wowote wa kutaja race? Then unakuja unatudhalilisha wanawake hapa? Umesoma kweli wewe? Nina mashaka na umri wako. Labla ni dogo unayebalehe. Acha kutudhalilisha wadada. Kama huyo mlikubaliana ndo umtangazie? Jitu zima ovyo!!
 
Msomali, Mbongo, Mtindiga, Mmakonde wa Msumbiji..... Who cares? Hii mambo imepitwa na wakati. Enzi ya utandawazi hii.

All cats are gray in the dark..:croc:
 
On the other hand vitoto vya kisomali vitamu balaa,ngozi lainiiiii.kama we si mchoyo naomba unipe dada au binamu yako,preferably awe potabo
 
Duh ama kweli elimu haina mwisho...!!!! Although nadhani tunahitaji data zaidi kwenye hii issue alafu huoni kwamba msemo wa (beauty is in the eyes of a beer holder) unakinzana kidogo na maneno yako, sababu kama mimi napenda wasichana warefu weupe wembaba I can argue kwamba Rwanda ndio kwenyewe ila wanaopenda wafupi wanene na waliojazia mahali fulani wanaweza wakakwambia vinginevyo ?
Sun wu, kwenye post yangu, nilipoweka maneno haya,
Kama unachopenda ni kumiliki good stuff then its ok you just choose your love and love your choice!. The rest is just the atitude of mind wengine kile kipande cha juu cha mua ndio asali yake kama lilivyo ganda la mua la jana, chungu aona kivuno!.

Wewe umeelewaje?, unamfahamu maana ya atitude of mind?. Asali na shubiri, zote ni ladha tuu, kama yalivyo matunda, kuna nanasi na kuna ndimu na vyote vinapendwa na vinaliwa!. Ndio maana unaambia ukipenda chongo, huita kengeza!.
 
...atajutaje?...alidhani watu humu hawajui ku-lusinde eeh!..lol
 
Kumbuka na dada yako hivyo hivyo hata kama wasomaliwanasifika kwa uchafu na roho mbaya. Huna haja ya kuandika mambo ya kipuuzihapa. Au ni wale wasomali wanaojiita waarabu wakati ni wamakonde wa kawaida.Kabla ya kuwalenga dada za wenzio kumbuka una dada hata mama. Hivi utajisikiajeukiambiwa mama yako mtamu? Tumia akili vizuri.

Mkuu umeandika kwa hisia kali, unamfahamu binti nini..!
 
We msomali? Kuna umuhimu wowote wa kutaja race? Then unakuja unatudhalilisha wanawake hapa? Umesoma kweli wewe? Nina mashaka na umri wako. Labla ni dogo unayebalehe. Acha kutudhalilisha wadada. Kama huyo mlikubaliana ndo umtangazie? Jitu zima ovyo!!

Nimesoma nina bachelor ya marketing from UDSM, Post Graduate ya Financial Management from Churchil College of London.....hahahahahahahahahahahahahahah:high5::high5::high5:
 
Nyie huyu hamjamuelewa, kasema anafanya kazi tigo kwahiyo mwenye kuhitaji huduma za tigo aende kwake! Ndio akatoa fb acc. Ili ukaone sampuli kama inalipa mchakato uanzie hapo! Kuhusu wadada wa kibongo hapo ni viceversa yaani anafurahishwa sana na wakaka wa kibongo wanapomfukua tigo! Wazee kama mpo wapenzi wa pilau bwabwa hilo limejileta lahitaji kupakuliwa..!! Hii ndo jf bana the home of great thinkers, kila lugha haikosi mfasiri hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom