Vitambilisho vya taifa vitazua ugonvi kati ya ngugu, marafiki na jamaa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,762
8,828
Kwa sasa Taifa liko kwenye mchakato wa Vitambulisho vya Taifa , Na hili swala tunaambiwa litakuwa nyeti sana.

- Na hivi vitambulisho kutokana kwamba vitakuwa computarised, vitakuwa na Data zote muhimu za mtu, kama vile
1. Umri
2. Kabira
3. Kazi
4. Elimu yake, yaani shule ya msingi, sekondary na chuo
4. Mahali alipo zaliwa
5. NA MENGINE MENGI TU

SASA UTATA UNAKUJA KWA WALE WATU WALIO TUMIA VYETI VYA NDUGU ZAO KUSOMEA NA HATA KUFANYIA KAZI.

- kuna watu wengi sana wametumia vyeti vya ndugu zao, rafiki zao na jamaa zao, kwenye kuombea kazi, kusomea na kazalika sasa kwenye kutengeneza vitambulisho lazima hizo taalifa zote zitaingizwa

- SAS JE WATAKAO GONGANA TAARIFA ITAKUWAJE?
1. MAJINA YOTE MATATU YAFANANE
2. SHULE WALIZO SOMA ZIFANANE
3 UKOO UFANANE
5. MAHALI WALIPOZALIWA PAFANANE, wilaya, kijiji, kata, mkoa
5. MWAKA WALIOZALIWA UFANENE
6. DIVISION WALIZO PATA NAZO ZIFANANE
7. Ndugu nao wafanane

NAZANI HAPA WAKUU KUTAKUWA NA UTATA WA HALI YA JUU, KUTOKANA NA KWAMBA HILI SWALA NI NYETI SANA, HAPO ATAKAYE WAHI KUINGIZWA TAARIFA ZAKE KWENYE DATA BEZI NDO ATAKAE KUWA AME ESCAPE
 
Sasa mbona na wewe kiswahili chako kinatia shaka? Maana maneno mengi umeandika ndivyo sivyo kama badala ya kuandika umri umeandika umuri na makosa mengine mengi.
 
Hili nalo neno....zaman ilikuwa raha.unapiga kaz kwa chet cha mtu
 
Sasa mbona na wewe kiswahili chako kinatia shaka? Maana maneno mengi umeandika ndivyo sivyo kama badala ya kuandika umri umeandika umuri na makosa mengine mengi.

hiyo ni lafudhi ya watu wa kigoma kuelekea burundi...
 
huyo ana wasiwasi sijui na yeye anatumia cheti cha watu we tulia muda ukifika mtapewa maelekezo hao wanaotumia vyeti vya watu na wanaotoa vyote wote ni wahalifu wanastahili adhabu hatuna haja ya kuwawazia..... Acha tuenjoy mwaka happy new year to all
 
Sijui ndio akili zetu huwa zinaishia hapa au tumelogwa. Unaposema vitaleta ugomvi, hivi ni ugomvi au vitaondoa uchafu?
NAZANI HAPA WAKUU KUTAKUWA NA UTATAWA HALI YA JUU, NA KUTOKANA NA KWAMBA HILI SWALA NI NYETI SANA, HAPO ATAKAYE WAHI KUINGIZWA TAARIFA ZAKE KWENYE DATA BEZI NDO ATAKAE KUWA AMEPONA
Hivi mtu akikopi particulars zako halafu akawahi yeye kujisajili, mamlaka itampa haki wa kwanza bila kufanya uchunguzi wa nani ni halali na nani ni mwizi? Ndugu usijidanganye. Kama umetumia vyeti vya mtu kwa mtondo huo bora usiweke kabisaa, usijifanye kuwahi kwa akili ya mwenyewe akija baadaye hana haki. Uchunguzi utafanywa na itabainika nani ni Joji wa kweli na nani ni Joji Poji. Kama umeulopu kaka na kiswahili chako cha kikimbizi bora ujikatae mapemaaa kabla hatujakutia mkononi
 
Wasiwasi wangu ni kwenye jeshi la polisi kwani 90% ya hao vijana wa mwema wanatumia vyeti vya Ndugu au jamaa zao. Ndio maana upeo wa kufikiri kwa hao vijana ni mdogo mno
 
Kwa sasa Taifa liko kwenye mchakato wa Vitambulisho vya Taifa , Na hili swala tunaambiwa litakuwa nyeti sana. - Na hivi vitambulisho kutokana kwamba vitakuwa computarised, vitakuwa na Data zote muhimu za mtu, kama vile 1. Umuri 2. Kabira 3. Kazi 4. Elimu yake, yaani shule ya msingi, sekondary na chuo 4. Mahali alipo zaliwa 5. NA MENGINE MENGI TU SASA UTATA UNAKUJA KWA WALE WATU WALIO TUMIA VYETI VYA NDUGU ZAO KUSOMEA NA HATA KUFANYIA KAZI. - kuna watu wengi sana wametumia vyeti vya ndugu zao, rafiki zao na jamaa zao, kwenye kuombea kazi, kusomea na kazalika sa kwenye kutengeneza vitambulisho lazima hizo taalifa zote zitaingizwa - SAS JE WATAKAO GONGANA TAARIFA ITAKUWAJE? 1. MAJINA YOTE MATATU YAFANANE 2. SHULE WALIZO SOMA ZIFANANE 3 UKOO UFANANE 5. MAHALI WANALIPOZALIWA PAFANANE, wilaya, kijiji, kata, mkoa 5. MWAKA WALIOZALIWA LABUDA UFANENE 6. DIVISION WALIZO PATA NAZO ZIFANANE 7. Ndugu nao wafanane NAZANI HAPA WAKUU KUTAKUWA NA UTATAWA HALI YA JUU, NA KUTOKANA NA KWAMBA HILI SWALA NI NYETI SANA, HAPO ATAKAYE WAHI KUINGIZWA TAARIFA ZAKE KWENYE DATA BEZI NDO ATAKAE KUWA AMEPONA
tunaanza na kukuhakiki wewe!
 
Wasiwasi wangu ni kwenye jeshi la polisi kwani 90% ya hao vijana wa mwema wanatumia vyeti vya Ndugu au jamaa zao. Ndio maana upeo wa kufikiri kwa hao vijana ni mdogo mno

mi ninao ushahidi wa askari mmoja ambaye alitumia cheti cha mtu kuombea kazi. Mwenye cheti kaja juu,akaripoti,jamaa akasimamishwa kazi. Sasa sijui walimpoza vipi mwenye cheti.. Askari anaendelea na kazi!
 
Mkuu kweli umewafumbua watu macho! Hao jamaa wa RITA watakutana na vitu hadi computer zao zi crush! Unaweza kukuta cheti kimoja kimetumiwa na ukoo mzima!
 
Wanaoongoza kwa kutumia vyeti vya watu ni Polisi,jwtz,magerezawalimu wa primary na wana Jf wazee wa majina feki!
 
mi ninao ushahidi wa askari mmoja ambaye alitumia cheti cha mtu kuombea kazi. Mwenye cheti kaja juu,akaripoti,jamaa akasimamishwa kazi. Sasa sijui walimpoza vipi mwenye cheti.. Askari anaendelea na kazi!

mi nilishawahi kupewa dili la kumpa mtu result slip na leaving certificate vya form 4 halafu nitalipwa laki, bahati mbaya matokeo yakazingua manake walimwambia jamaa amefaulu sana hivyo ana option nyingi, wakamtema nikakosa mshiko..!
 
Hiyo ishu ndogo sana hata data zifanane vp,tutakomaa nao 2 mpaka kitaeleweka!hof ya nn bana na nchi yetu hii?kama vp 2nawaachia mabomu ya machozi na maji washa,2kale wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom