Vitambilisho vya taifa vitazua ugonvi kati ya ngugu, marafiki na jamaa

nikweli vitambulisho vya utaifa ni bomu linalosuburi kulipuka...ndo maana masha alikuwa anazuga kutoa tenda kwani analijua fika kuhusu vijana wake kutumia majina ya jamaa zao..!

halafu wameanza na watumishi wa umma, so wale wakulima zamu yao ikifika mitandao itakuwa imeshachakachuliwa!

lakini mie si natasema documents zangu zimechukuliwa na mafuriko, so ntafanya changes kwahizi data mpya. kaazi kwelikweli..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom