Vitabu vya Makamba sr. hawa ni wageni waalkwa uwiano umekaaje? Toa Maoni

Jungumawe

JF-Expert Member
May 2, 2009
245
74
08.jpg
09.jpg
 
Uwiano uonesha content ya kitabu ita kuwa ya kidini sababu mkao wa utengano katika ya wanaume na wanawake.
 
Natumaini content ya kitabu hicho inawahusu hao waliohudhuria
Kama ni content ya kidini then amepata the right crowd
wakuu fuatilieni hii habari maana itv walisema kuwa hivi vitabu vimeshakubaliwa na vimeingizwa kwenye mitahala ya shule za msingi ambapo vitatumika kuanzia darasa la V - VII (darasa la tano mpaka saba). Na pale miongoni mwa waliokuwepo ni Nyambari Nyamgwine, kwa hiyo msishangae hivi vicheko vyenu vikaishia kwenye vilio maana sina uhakika ni taasisi gani iliyo hakiki na kuthibitisha kuwa hivi vitabu vinaweza kujenga vision za watoto wetu.
Kikubwa hapa ni kuwa watu wako kwenye biashara maana zikichapwa nakala milioni 2,000,000 na nimeona wanasema bei yake ni 5,000/- @ nakala!
Kisitumike shule zetu za msingi,akitumie kwenye Madrasa.Make aliisha suka mchongo wa kula chenji ya rada kwa kutumia kitabu chake

Mkuu mwenye kudai uwiano wa kila kitu, ukimaliza hapa nenda kwenye msafara wa CHADEMA kusini, 99.99% ni wakristo utadhani ni kikindi cha kwaya cha kanisa! kha!
 
wakuu fuatilieni hii habari maana itv walisema kuwa hivi vitabu vimeshakubaliwa na vimeingizwa kwenye mitahala ya shule za msingi ambapo vitatumika kuanzia darasa la V - VII (darasa la tano mpaka saba). Na pale miongoni mwa waliokuwepo ni Nyambari Nyamgwine, kwa hiyo msishangae hivi vicheko vyenu vikaishia kwenye vilio maana sina uhakika ni taasisi gani iliyo hakiki na kuthibitisha kuwa hivi vitabu vinaweza kujenga vision za watoto wetu.
Kikubwa hapa ni kuwa watu wako kwenye biashara maana zikichapwa nakala milioni 2,000,000 na nimeona wanasema bei yake ni 5,000/- @ nakala!

duh kumbe ni vya shule ya msingi...! Makubwa
 
naona mitandao ya magazaeti iliyopost habari hiyo hawajaelezea vizuri hilo na naendelea kufuatilia, lakini walioangalia ITV jana watakuwa waliona, ilisemwa vizuri. Atakayewahi kupata taarifa kamili atuwekee hapa

Mkuu mwenye kudai uwiano wa kila kitu, ukimaliza hapa nenda kwenye msafara wa CHADEMA kusini, 99.99% ni wakristo utadhani ni kikindi cha kwaya cha kanisa! kha!

huwa unawauliza dini zao? ishara gani hukupa 99% ni wakristo?

Hapo kwenye huo mkutano ishara ya mavazi, na walivyokaa kwa kujitenga wanawake kwa waume, inaonesha wazi hao ni waislam na wazindua juzuu!
 
Back
Top Bottom