Vitabu vya elimu ya kilimo

Msongoru

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
306
24
Wadau! Nimeamua kwenda kulima... nimekata shauri kuwa mkulima lakini wa kisasa. Tafadhali naomba msaada wa yeyote mwenye vitabu vya ELIMU YA KILIMO anisaidie. Ikiwa kwenye soft copy itakuwa vizuri, vinginevyo bado nitashukuru. Vikiwa kwenye lugha ya kiswahili (kama vipo) itakuwa vizuri vinginevyo nitashukuru pia..

Natanguliza shukrani zangu za dhati..
 
Ni wazo zuri sana. Ili ulime kitaalama nenda chuoni kabisa upate angalau diploma pale Tengelu.
 
Ahsante Ndebile! Nashukuru kwa ushauri ila kwenda chuo kwa sasa sio rahisi kiasi hicho. Mbali na gharama nahesabu zaidi muda. Hebu nione waliosoma hapo Tengeru kama wapo humu wanisaidie basi hiyo elimu.

Naendelea kutanguliza shukrani...
 
Back
Top Bottom