Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 384
Logically huu ndiyo ukweli kwamba anajua swala la umeya bado ni tata na kama president atajisikia embarased kama lolote litatokea kutoka kwa raia wake against yeye ukizingatia media za kimataifa zitakuwepo, so politically it could be difficult kwake kuja kufanya mkutano hapo AR hasa wakati huu ambapo CHADEMA wana utilize fully any political opportunity. Chakujiuliza atakimbia huo ukweli hadi lini?
Nafikiri alishindwa kupima political effects over economic effects. Watu wa Dar wanafoleni already kwahiyo mtu anatumia muda mwingi barabarani kwahiyo less productivity. Na kutokana na adha ya usafiri sidhani kama hao wageni wata-spend pesa zao kwenye biashara/vivutio vingi huko Dar kwasababu ya adha ya foleni. Sijui kama alilifikiria hilo pia.