benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana Jijini Arusha hivi punde katika mkutano Mkuu unaojadili mabadiliko ya tabia ya Nchi na Chakula.
--
Rais Samia azungumzia baadhi ya vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili Masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Mkoani Arusha