Vipengele vya tuzo kwa members wa JF mwaka 2017, piga kura yako hapa..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,694
106,843
KTK KUUFUNGA MWAKA '2017' NA KUUKARIBISHA '2018'

-----------------------------------------

Vifuatavyo ni Vipengele vya 'TUZO' zinazoshindaniwa JF kwa mwaka 2017 kabla ya mwaka Kuisha..

.......

1..Tuzo ya,

Mchekeshaji Bora wa JF..

2..Tuzo ya,

M'bishi Bora wa JF.......

3..Tuzo ya,

Mtu Anayejitolea kwa Wenzake kwenye Shida na Raha..

....

4..Tuzo ya,

Muongo Bora Kuliko wote...

....

5..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayekua Hewani/Online muda wote..

....

6..Tuzo ya,

Mtu Ambaye yumo kwenye Forum lkn hajawahi Ku'Comment wala Ku'Post Chochote..

....

7..Tuzo ya,

Mtu Anayeonekana Mara Moja'moja kwenye Jf

8..Tuzo ya,

Mtu Anayependa Kujisifia kwenye JF........

....

9..Tuzo ya,

Mchangamshaji Bora wa Jf..

....

10..Tuzo ya,

Mstaarabu / Mtaratibu na Mwenye Busara Bora wa jf..

....

11..Tuzo ya,

Anayejifanya yeye Anajua kila kitu Bora wa Jf.........

....

12..Tuzo ya

M'babaishaji / Tapeli / Mapepe / Mjanjamjanja Bora wa Jf.....

13..Tuzo ya,

Heshima na Kiongozi Bora wa jf

....

14..Tuzo ya LAZIMA

Hii lazima iende kwa Muasisi wa JF.........

15..Tuzo ya,

Mtu Muaminifu kuliko wote ktk Jf.....

16..Tuzo ya,

Mtu Bora Ambaye Akikosekana ktk Group japo kwa siku,

Basi unaona km Mambo hayaendi vile....

17..Tuzo ya,

Mchapiaji Bora au Anayekosea'kosea Kuandika herufi za *Msg* ktk Jf......

18..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayeongoza kutuma, Picha na Video/Clp ktk Jf........

19..Tuzo ya,

Mtu Anayeongoza Kutuma Picha za Midoli,

Kwa Mfano

km hivi Ni nani bora ktk Jf....

20..Tuzo ya,

Mtu Anayeongoza kwa kutoa Taarifa za *Break News* ktk Jf..

21..Tuzo ya

Mtu Bora Anayeongoza kwa Ku'Copy na Ku'Paste ktk Jf......

22..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayekubalika Kuliko wote ktk Jf.......

23..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayeongoza kwa Kuzira / Kukasirika na Kuchukia Mapema ktk Jf....

24..Tuzo ya,

Mtuma picha Bora wa Kutuma Picha za Kuudhi japo Wengine Wanazipenda ktk Jf......

NB;

KURA NI YA WAZI.....

Tafadhali

Taja Jina la Mtu....

Na Namba ya Kipengele Unachompendekeza...

Kwa udhamini mnene wa Ambiele Kiviele ..
 
Mimi naomba nijuchukulie mwenyewe namba yangu....nafikili 17 hii tuzo nastahili kabisaa sina kipingamizi.

Maana Niko vizuri iki kipengele
 
26,
Tuzo ya,
Mafisi wanaoongoza jf.

27,
Tuzo ya
Anaeongiza kupost chochote anachojiskia.

Kura yangu kwa gudume, siwezi kesema yupo no ngapi maana nyingi zinamfaa, gudume upo?
 
KTK KUUFUNGA MWAKA '2017' NA KUUKARIBISHA '2018'

-----------------------------------------

Vifuatavyo ni Vipengele vya 'TUZO' zinazoshindaniwa JF kwa mwaka 2017 kabla ya mwaka Kuisha..

.......

1..Tuzo ya,

Mchekeshaji Bora wa JF..

2..Tuzo ya,

M'bishi Bora wa JF.......

3..Tuzo ya,

Mtu Anayejitolea kwa Wenzake kwenye Shida na Raha..

....

4..Tuzo ya,

Muongo Bora Kuliko wote...

....

5..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayekua Hewani/Online muda wote..

....

6..Tuzo ya,

Mtu Ambaye yumo kwenye Forum lkn hajawahi Ku'Comment wala Ku'Post Chochote..

....

7..Tuzo ya,

Mtu Anayeonekana Mara Moja'moja kwenye Jf

8..Tuzo ya,

Mtu Anayependa Kujisifia kwenye JF........

....

9..Tuzo ya,

Mchangamshaji Bora wa Jf..

....

10..Tuzo ya,

Mstaarabu / Mtaratibu na Mwenye Busara Bora wa jf..

....

11..Tuzo ya,

Anayejifanya yeye Anajua kila kitu Bora wa Jf.........

....

12..Tuzo ya

M'babaishaji / Tapeli / Mapepe / Mjanjamjanja Bora wa Jf.....

13..Tuzo ya,

Heshima na Kiongozi Bora wa jf

....

14..Tuzo ya LAZIMA

Hii lazima iende kwa Muasisi wa JF.........

15..Tuzo ya,

Mtu Muaminifu kuliko wote ktk Jf.....

16..Tuzo ya,

Mtu Bora Ambaye Akikosekana ktk Group japo kwa siku,

Basi unaona km Mambo hayaendi vile....

17..Tuzo ya,

Mchapiaji Bora au Anayekosea'kosea Kuandika herufi za *Msg* ktk Jf......

18..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayeongoza kutuma, Picha na Video/Clp ktk Jf........

19..Tuzo ya,

Mtu Anayeongoza Kutuma Picha za Midoli,

Kwa Mfano

km hivi Ni nani bora ktk Jf....

20..Tuzo ya,

Mtu Anayeongoza kwa kutoa Taarifa za *Break News* ktk Jf..

21..Tuzo ya

Mtu Bora Anayeongoza kwa Ku'Copy na Ku'Paste ktk Jf......

22..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayekubalika Kuliko wote ktk Jf.......

23..Tuzo ya,

Mtu Bora Anayeongoza kwa Kuzira / Kukasirika na Kuchukia Mapema ktk Jf....

24..Tuzo ya,

Mtuma picha Bora wa Kutuma Picha za Kuudhi japo Wengine Wanazipenda ktk Jf......

NB;

KURA NI YA WAZI.....

Tafadhali

Taja Jina la Mtu....

Na Namba ya Kipengele Unachompendekeza...

Kwa udhamini mnene wa Ambiele Kiviele ..

No 10: ni barafu
 
Mbona baadhi ya points ni ngumu kuthibitisha , sheria ya jf inakataza kupost vitu vya uongo half unasema mtu achaghuliwe
Mtu tapeli utathibisha vipi,

Kuna point nyingine ilifaa kuongezwa

25. Mchangiaji wa kwanza aliyetokea kwenye post nyingi nacho ni kipaji
 
Yeriko Nyerere, pasco, mshana jr, mwanahabari huru, Okwi boban sunzu, nguruvi, emt, hawa ndiyo nguli kwenye thinking
 
Back
Top Bottom