ha ha ha Malecela msomi; Mzee wa Glasgow; Kasoma India na UK (Ni Cambridge or Oxford); ikitabu kimepanda lakini Siasa imemharibu. A reasonable man spoiled by CCM politics!! Was very loyal to CCM but CCM never been loyal to him; they used him the way they wanted!Ahhahhh ndiyo maana akina kingunge, malecela wanang'ang'ania siasa tu hawana kingine cha kufanya? ivi huyu malecela nae ni dr. na kama ni dr. mbona sionagi hiyo taito kwenye jina lake au ni wale wasiosoma kabisa?
Ahhahhh ndiyo maana akina kingunge, malecela wanang'ang'ania siasa tu hawana kingine cha kufanya? ivi huyu malecela nae ni dr. na kama ni dr. mbona sionagi hiyo taito kwenye jina lake au ni wale wasiosoma kabisa?
11.Dr.Wilson MukamaEndelezeni hapo chini
- Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
- Dr. Mary Nagu
- Dr. Makongoro Mahanga
- Dr. Emmanuel Nchimbi
- Dr. David Mathayo David
- Dr. Diodorous Kamala
- Prof. Steven Ngonyani
- Dr. Hussein Mwinyi (hakufanya intern to qualify to be MD)
- Dr. Mary Mwanjelwa
- .....
Sijajua lakini nahisi hawana elimu kubwa ya level ya shahada. Labda La Baharia atatujuza ukweli ulivyo.
John Malecela
John Samuel Malecela
7th Prime Minister of Tanzania
In office
November 9, 1990 December 7, 1994
President Ali Hassan Mwinyi
Preceded by Joseph Sinde Warioba
Succeeded by Cleopa David Msuya
Personal details
Born 1934
Dodoma , Tanzania
Political party Chama cha Mapinduzi
John Samuel Malecela (born 19April 1934) in Bugiri Dodoma , was Prime Minister of Tanzania from 1990-11-091994-12-07. He served as the vice-chairman of the CCM from 1995 to 2007, and a member of the CCM Central Committee to date.
Prime Minister Malecela headed the Tanzanian delegation whichparticipated in the first Tokyo International Conference on African Development in October 1993. [ 1 ]
Hide Education
*. Secondary Education - Minaki secondary school 1957-1958
*. Bachelor of Commerce - Bombay University 1958-1959
*. Post Graduate Studies - Cambridge University 1961-1962
*. Ph.D. Honoris Causa (Humanities) - University of Texas 1977
John Malecela is one of the mostexperienced Tanzanian politicians. However his efforts to seek his party's nomination for presidential candidacy did not yield any favorable results on his part both in 1995 and 2005.

mfano ulitokea kwa Dr. naibu waziri fulani kama Aysha au kigoda kinahusiana nacho sikumbuki sana, mwenye kumbukumbu sahihi atanisaidia kwenye hili.
Dr. Mrema. Kazi kwelikweli
Natamani Dr Kitila, Profesa Baregu, Dr Slaa, Profesa Safari, Profesa Kwiyolela sijui na wote wa CDM waache kutumia title zao hizo!
1. Ka-PhD na wewe unako???
2. Mi sina ninaweza pata siku za usoni Munguakinijalia lakini hapa tunajadili umuhimu wa viongozi wetu kuwa wa wazi nawakweli hii itasaidia sana kukuza uzalendo kwamba una Phd ya nuclear physicsbasi tueleze umuhimu wake kwa nchi yaani kama taifa tumenufaika vipi na thesisyako sio kuishia kuitwa docta au profesa tu hii haitoshitunataka tuone impact ya elimu yako kwa jamii
AKUDOIMPACTE.......hahaaaaaa...full bosse
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi kuhusu CV ya J.S. Malechela duh kumbe ana phd sijawahi msikia akijiita dr Malechela. Swali linakuja hiyo thesis yake kuhusu humanities imelisaidiaje taifa? Au ni yaleyale ya kogo na kutaka vyeo vya kisiasa?