Viongozi wetu na 'title' bandia

Ahhahhh ndiyo maana akina kingunge, malecela wanang'ang'ania siasa tu hawana kingine cha kufanya? ivi huyu malecela nae ni dr. na kama ni dr. mbona sionagi hiyo taito kwenye jina lake au ni wale wasiosoma kabisa?
ha ha ha Malecela msomi; Mzee wa Glasgow; Kasoma India na UK (Ni Cambridge or Oxford); ikitabu kimepanda lakini Siasa imemharibu. A reasonable man spoiled by CCM politics!! Was very loyal to CCM but CCM never been loyal to him; they used him the way they wanted!
 
Haya matatizo yalianza na wale waliondoka jeshini. Mtu ni mwanasiasa anajiita Jenerali mstaafu, kwani collin powell aliendelea kuwa jenerali wakati akiwa waziri? Nadhani ni fikra potofu kuwa kuenyesha kiwango chako cha elimu kutasaidia kujenga uhalali wa hoja zako. Ifike mahala tume ya uchaguzi ipige marufuku watu kutumia vyeo hivi kwenye kampeni ili kuzuia kuwalaghai baadhi wa watu vijijini na hata mjini. Vyeo kama Mchungaji, prof, luteni mstaafu, jaji, dr, mhandisi.... viachwe kwenye taaluma ukishatoka huko ukaingia kwenye siasa wewe ni mwanasiasa.
 
  1. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
  2. Dr. Mary Nagu
  3. Dr. Makongoro Mahanga
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi
  5. Dr. David Mathayo David
  6. Dr. Diodorous Kamala
  7. Prof. Steven Ngonyani
  8. Dr. Hussein Mwinyi (hakufanya intern to qualify to be MD)
  9. Dr. Mary Mwanjelwa
  10. .....
Endelezeni hapo chini
 
Hizo tayto nadhani ni kipimo cha ujinga wa hao wanaotumia, vipi wewe ung'ang'anie kujiita Dr. au profesa halafu huna cha kujisifia katika maendeleo ya nchi, zaidi ya kuona kuwa ni bora ubadili upepo kuingia kwenye siasa. Tumerogwa tu hakuna kingine. Saa zingine mtu ni kama medical assistant naye anaitwa Dr. na atahakikisha anatumia Dr. kwenye sehemu zote atakazoitwa jina lake, mfano ulitokea kwa Dr. naibu waziri fulani kama Aysha au kigoda kinahusiana nacho sikumbuki sana, mwenye kumbukumbu sahihi atanisaidia kwenye hili. Suala ni kuamua kuondoa hizo hadithi za uprofesa u Dr. U jenerali ustaafu, na vyeo vinginevyo vinavyotumika kama ngazi ya kuzugia kupata uheshimiwa. Mwenyezi Mungu tupe imani tujenge nchi yetu siye akina profesa Maji mafupi.
 
Ahhahhh ndiyo maana akina kingunge, malecela wanang'ang'ania siasa tu hawana kingine cha kufanya? ivi huyu malecela nae ni dr. na kama ni dr. mbona sionagi hiyo taito kwenye jina lake au ni wale wasiosoma kabisa?

Sijajua lakini nahisi hawana elimu kubwa ya level ya shahada. Labda La Baharia atatujuza ukweli ulivyo.
 
Kwahiyo naona tunakubaliana na ukweli kwamba tunahitaji sheria itakayowabana viongozi katika utumiaji wa vyeo vya kitaaluma ili kusiwe na ulaghai wa aina yoyote. Kujenga hoja ikakubalika haitaji uwe na phd tumeona jinsi Luiz Inacio Lula da Silva alivyofanya kazi kubwa ya kupandisha uchumi na hadhi ya Brazil kwahiyo kuwa kiongozi bila kutumia wataalamu wa secta mbalimbali matokeo yake ndio haya tunayaona taaluma inadhalilika na wanasiasa wanajiona wanajua kila kitu bila kupata ushauri wakitaalamu na wakipata hawaufanyii kazi zaidi ya matakwa yao.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
  1. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
  2. Dr. Mary Nagu
  3. Dr. Makongoro Mahanga
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi
  5. Dr. David Mathayo David
  6. Dr. Diodorous Kamala
  7. Prof. Steven Ngonyani
  8. Dr. Hussein Mwinyi (hakufanya intern to qualify to be MD)
  9. Dr. Mary Mwanjelwa
  10. .....
Endelezeni hapo chini
11.Dr.Wilson Mukama
 
Sijajua lakini nahisi hawana elimu kubwa ya level ya shahada. Labda La Baharia atatujuza ukweli ulivyo.

John Malecela
John Samuel Malecela
7th Prime Minister of Tanzania
In office
November 9, 1990 – December 7, 1994
President Ali Hassan Mwinyi
Preceded by Joseph Sinde Warioba
Succeeded by Cleopa David Msuya
Personal details
Born 1934
Dodoma , Tanzania
Political party Chama cha Mapinduzi
John Samuel Malecela (born 19April 1934) in Bugiri Dodoma , was Prime Minister of Tanzania from 1990-11-09–1994-12-07. He served as the vice-chairman of the CCM from 1995 to 2007, and a member of the CCM Central Committee to date.
Prime Minister Malecela headed the Tanzanian delegation whichparticipated in the first Tokyo International Conference on African Development in October 1993. [ 1 ]
Hide Education
*. Secondary Education - Minaki secondary school 1957-1958
*. Bachelor of Commerce - Bombay University 1958-1959
*. Post Graduate Studies - Cambridge University 1961-1962
*. Ph.D. Honoris Causa (Humanities) - University of Texas 1977
John Malecela is one of the mostexperienced Tanzanian politicians. However his efforts to seek his party's nomination for presidential candidacy did not yield any favorable results on his part both in 1995 and 2005.
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi kuhusu CV ya J.S. Malechela duh kumbe ana phd sijawahi msikia akijiita dr Malechela. Swali linakuja hiyo thesis yake kuhusu humanities imelisaidiaje taifa? Au ni yaleyale ya kogo na kutaka vyeo vya kisiasa?
 
mfano ulitokea kwa Dr. naibu waziri fulani kama Aysha au kigoda kinahusiana nacho sikumbuki sana, mwenye kumbukumbu sahihi atanisaidia kwenye hili.

Kumbukumbu zako haziko mbali, huyu anaitwa Dr. Aisha Kigoda, alikuwa naibu waziri wa Afya 2005-2010. Yeye ni AMO ali graduate Bugando Medical Centre.

Aliulizwa kwamba kwanini anajiita Dr wakati yeye ni AMO? akajibu kwamba wananchi ndiyo wamemuzowesha kumuiita hivyo Dr. hence na yeye kujiita Dr.

Hii imenikumbusha Tundu Lissu alipomuuliza Mary Mwanjelwa bungeni wakati wa kugombea ubunge wa SADC(?) kwamba Wewe unajiita Dr. twambia wewe Dr. wa binadamu (MD) au wa PhD? and if either of the two twambie ni chuo na mwaka gani ulisomea?

To my surprise akasema yeye sio MD na wala hana PhD, wabunge wa CCM kwa wingi wao wakagonga meza kumshangilia? Nikajiuliza hivi hao wabunge wanafahamu wanachoshangilia? Nikabaki kinywa wazi.
 
hii ni kasumba ya watu waliopata vitu ambavyo hawakuwa na uhakika kama wangevipata, basi tumia iko tittle yako kuikomboa jamii inayokuzunguka...... mmmmmmmmmmmhhhhhhhhh wapi kuishia tu kutukuzana na elimu ya kwenye makaratasi, halisi haiwezi.
mfano, jamaa anajiita His Excelency Dr .............. ili iweje???
Kuna rais wa Gambia jamaa hajagonga school kabisa yaani ila ivyo vyeo mwanangu, check anaitwa His Excelency Sheik Dr Prof Alhaji Yahya Jamien, yooooooote hayo ni kutokujiamini na kujikweza tu
 
His Excellency president for life, Field Marshall Al Hadji Idi Amin, VC, DSO ,MC, king of Scotland, lord of all Beast of Earth and Fishes of sea and Conquerer of British Empire in general and Uganda in particular! It is instructive to learn that this 'great' died lonely in exile titles notwithstanding.
 
Natamani Dr Kitila, Profesa Baregu, Dr Slaa, Profesa Safari, Profesa Kwiyolela sijui na wote wa CDM waache kutumia title zao hizo!

Naunga mkono hoja ila pale tu wanapotajwa kama wanasiasa tu lakini wakiwa vyuoni kwenye kazi zao waendelee kutumia. Kwa wale ambao ni politicians ni vizuri waache kutumia hizo tittles.
 
1. Ka-PhD na wewe unako???
2. Mi sina ninaweza pata siku za usoni Munguakinijalia lakini hapa tunajadili umuhimu wa viongozi wetu kuwa wa wazi nawakweli hii itasaidia sana kukuza uzalendo kwamba una Phd ya nuclear physicsbasi tueleze umuhimu wake kwa nchi yaani kama taifa tumenufaika vipi na thesisyako sio kuishia kuitwa docta au profesa tu hii haitoshitunataka tuone impact ya elimu yako kwa jamii

AKUDOIMPACTE.......hahaaaaaa...full bosse
 
Yes ,mfano nuclear physict Abuds Salam ambaye juhudi zake ziliwezesha Pakistan kutengeza THE BOMB na hivo kujinga na exclusive club ya nuclear bomb nation ,nchi chache duniani zino heshimika kutokana na uwezo wa kininuclear.
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi kuhusu CV ya J.S. Malechela duh kumbe ana phd sijawahi msikia akijiita dr Malechela. Swali linakuja hiyo thesis yake kuhusu humanities imelisaidiaje taifa? Au ni yaleyale ya kogo na kutaka vyeo vya kisiasa?

Duh, pamoja na kuandikiwa kuwa ile ni honorary degree (Honoris causa) bado tu unataka kujua thesis yake imesaidiaje taifa! Chuki binafsi? Kwa nini usiulize ya Dr Kikwete.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom