Mnaumia nini Kufungwa Goli 5 na Yanga SC leo, wakati GENTAMYCINE kila nikiwasema Viongozi na Wachezaji wa Simba SC mnanuna na kunitusi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Viongozi Murtaza Mangungu ni Kirusi na Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ni Mtu wa Kuuza na Kupenda mni 10%?

Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa ndani ya Simba SC ( hata Kamati ya Utendaji ) kuna Virusi ( Watu wa Yanga SC ) ambao kila tukikutana nao Wanauza Kwao Ramani ya Vita?

Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Kipa ( Duka ) Aishi Manula asiaminiwe Mechi za Derby kwakuwa huwa anatuumiza?

Kama hajadaka Mechi yoyote ile ya Kimashindano kwa Miezi Mitano, hayuko Fiti bado, Mzito na hana Game Momentum leo kulikuwa na Ulazima gani aaminiwe kudaka Mechi Ngumu na Muhimu Kwetu?

Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa kamwe simkubali Mchezaji Clatous Chama kwakuwa anapooza Mashambulizi, hakabi na anacheza Kifaza zaidi na Kujiona Mungu Mtu ndani ya Kikosi hivyo awe anaanzia tu Benchi na aingizwe pale tu Simba SC ikiwa imeshinda?

Siyo Mimi hapa Jamiiforums niliyeonya kuhusu Uchezaji wa Kitoto, Mzaha na Sifa zilizopitiliza za Beki Henock Inonga na kwamba asipokanywa na kuchekewa ipo Siku atakuja Kutuponza na Kutugharimu pakubwa? Je, leo hajatugarimu?

Hivi Beki Henock Inonga ni wa Kucheza kwa Mbwembwe huku akipiga back pass zake mbele ya 18 ya Simba SC huku kila mara akilazimisha tu Kurejesha Mipira kwa Kipa badala ya Kupeleka mbele Timu izidi Kushambulia?

Ndiyo maana hata sikushangaa kumuona Yeye ( Henock Inonga ) baada ya Mechi Kumalizika ndiyo alikuwa Mchezaji pekee wa Simba SC ambaye hakutokwa na Machozi na hata alikuwa haonyeshi Kuumia na Kipigo cha Kishalubela na badala yake akaenda Kuzungumza na Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi huku wakiwa Wanacheka na kuonyesha Kukubaliana Kimazungumzo.

Siyo Mimi hapa hapa Jamiiforums nilionya kuwa kutokana na Kushuka vibaya mno kwa Kiwango kwa Beki Shomary Kapombe asiwe anapangwa Yeye bali sasa damu Changa akina Israel Mwenda au David Kameta ndiyo wawe Wanapangwa kwani kwa Umri wao mdogo wanaendana kabisa na Kasi ya Mpira wa sasa.

Siyo Mimi hapa hapa Jamiiforums nilionya kuwa Simba SC ikiwa inajiandaa Kucheza na Yanga SC basi kule Kambini Bunju asiwe anaruhusiwa Mtu yoyote Kuingia / kwenda Kutizama Mazoezi kwakuwa Wataalam ( Waganga ) wa Yanga SC huvalia Jezi za Simba SC na kwenda Kufanya Ushirikina pale kwa Kuwafunga Miguu Wachezaji wa Simba SC na kuwafanya wawe Wazito na Waliochoka Uwanjani kama ilivyoonekana leo?

Siyo Mimi hapa hapa Jamiiforums nilisema na kuomba ule Utamaduni wa Mzee Wetu Amiri Bamchawi kila tukiwa tunakaribia kucheza na Yanga SC utumike kwa Wachezaji, Benchi la Ufundi na Viongozi Waandamizi Kulishwa Yamini ya Kiapo na kuttotoa Siri yoyote ya Kummaliza Adui?

Leo ni Mechi ya Nne kila Simba SC tukiwatega Yanga SC Kiushirikina kupitia Milango Mikubwa Mitatu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa na lile Geti linalotazama na Kambi ya Mgulani na kufanya Siri ili wapite na Wauvagae Mtego na tuwafunge nyingi Kiurahisi?

Kama Watu wa Simba SC ( tena Kamati ya Ufundi ) huwa tunakubaliana Kutunza Siri za Mikakati yetu na ya Kumtega Adui ( Yanga SC ) ni nani huwa anawashtua / anawaambia Watu wa Yanga SC na Wao kuutegua Mtego uliowekwa Mageti Makubwa Mkapa Stadium kama walivyofanya leo na hatimaye Kufungwa nyingi?

Nawapongeza Yanga SC ( kama Mdau wa Michezo ) kwa Ushindi wao Mnono wa Kutufunga Goli 5 kwa 1 Watani zenu Simba SC na hakika kwa Mpira wenu mkubwa mlioucheza huku Pamoke Zoazoe akihaha Uwanja mzima na Kutuonyesha Thamani yake ya Kutukuka Kwetu tofauti na ilivyo kwa Mchezaji wetu mbovu na tuliopigwa Leandre Onana.
 
Swahiba Shadeeya 😃
20231105_233611.jpg
 
Kilichowaponza ni kiburi chenu, uwezo mdogo mnataka mpishane na Yanga. Mngeshikilia bomba kama kule Tanga. Tatizo mlikuwa mnaona wenzenu wanaofungwa mambwiga, wavuta bangi, mazuzu. Mpaka Msemeeeee.
 
Nashukuru sana kwa kutupongeza. Umeonyesha kweli wewe ni mkomavu na unasema koleo ni koleo na siyo kijiko kikubwa
 
Back
Top Bottom