Allan Joh
Member
- Mar 12, 2017
- 9
- 24
Dada yangu ni mama wa watoto wawili ambao hawapokei huduma yoyote kwa baba licha ya baba kuwa mtumish wa serikali na kipato kizur tu.
Kama mjomba yapo majukumu niliyoamua kuyabebea kwani dada yangu hana kipato cha kumfanya aweze waendeleza watoto wake.
Mtoto wa kwanza wa dada angu anategemea kupata kipaimara mwaka uu mwez wa 12 katika kanisa la KKKT WAZO HILL.
Kanisa limewataka wazazi watoe sadaka waliyoiita sadaka ya alama ambayo sadaka iyo inapangwa na Mchungaji.
Awali wazaz waliomba kutoa walau 25k kwa kila mtoto lakin mchungaji akabatilisha na kutaka zinunuliwe furnitures za kanisa ambapo kwa kila mtoto atachangia 50k.
Watoto waliomaliza mafundisho wapo almost 180,na kati yao wapo wengi wenye wazazi ambao hali zao ni kama dada yangu au zaidi ya dada angu lakni wameamua kuwapa watoto wao walau elimu ya Mungu.
Kwa hali ii wapo ambao wamekwama na wamekubali watoto wasipate kipaimala.
Viongozi makanisan msitufukuze kanisani.