Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

Nimeyaona haya na Roman Catholic.
Mungu hayupo tena makanisani
Mambo mengine ni lazima hela itahusika tu, labda useme Kanisa litafute miradi. Mfano, cheti cha ubatizo, ni wapi uraiani utapata bure huduma ya printing?
 
Mambo mengine ni lazima hela itahusika tu, labda useme Kanisa litafute miradi. Mfano, cheti cha ubatizo, ni wapi uraiani utapata bure huduma ya printing?
Hiyo printing ya cheti cha ubatizo ndio inagharimu sh 30,000-50,000?
Kanisa lina njia nyingi za kukusanya michango sio hadi wasubiri event za ubatizo na Kipaimara ndio watoze pesa.
Kufanya hivyo lazima ilete tafsiri tofauti.
 
Toa sadaka kama unampa Mungu na sio Mchungaji...

Wewe ukitoa sadaka nenea sadaka hiyo, amesema wananunua furniture..

Jenga madhabahu wanenee watoto hao juu ya madhabahu...

Wakabidhi watoto kwenye madhabahu iwalinde na kuwakuza vyema...

Ifike mahali tutambue shughuli zote za kanisa zinatumia pesa...
Ambao hawna hiyo 50000?acheni wizi kwa kisingizio cha dini.mkiona uchungaji haulipi tafuteni KAZI nyingine za kufanya sio kugeuza waumini mitaji.yesu alimsaidia Nani kwa masharti ya pesa?
 
Kanisa lina njia nyingi za kukusanya michango sio hadi wasubiri event za ubatizo na Kipaimara ndio watoze pesa.
Kufanya hivyo lazima ilete tafsiri tofauti.
Hayo mapato ya hizo njia nyingine, hayana matumizi mengine?
 
Back
Top Bottom