Umeona eeeh! ngoja uone watakavyokurushia tope! Watu wanapenda mambo rahisi rahisi! hapo watachangia na kuendeleza weeeee!

jf inakoendea itatufanya tuwe vlaza sana coz hatuna haja ya kuhoji wala kufikiri,mtu akiandika chochote kuhusu ccm,cuf,tbc,kibonde na vingine vinavyochukiwa watu wanakubali tu bila hata kufikiri wala kuhoji..raha sana jf.

Wanazo akili, kama unabisha anzisha Chama chako uone kama utapata wafuasi. Utampata mkeo tu! Acheni kutudhalilisha wana CUF!
Peke yako ndio utakuwa kilaza!
Maana ya jf ndio hii kujadili hoja ikiwemo na kauli za viongozi wetu kama hawa!
Ndio maana tuna ambiwa ukiwa mtu maarufu unatakiwa uwe makini kwa kila unacho kinena!
Ni vizuri tukichambua kwa makini kauli za viongozi wetu na kuzi tafakari kwani zina beba maana!
jf inakoendea itatufanya tuwe vlaza sana coz hatuna haja ya kuhoji wala kufikiri,mtu akiandika chochote kuhusu ccm,cuf,tbc,kibonde na vingine vinavyochukiwa watu wanakubali tu bila hata kufikiri wala kuhoji..raha sana jf.
CUF sio chama cha Waislamu kama jinsi wachangiaji wanavyodai ni chama kililianzishwa eneo lenye waislaqmu wengi basi. Lakini hata hivyo mbona hata chadema ni chama cha wakatoliki lakini hatuhitaji kujadili tunataka kuona nini kinafanyika je? kina manufaa kwa jamii au la
Ndio shida ya kutanguliza miguu badala ya kichwa hii.CUF haikuanzishwa kwenye Waislam wengi kilaza wewe, hata mwanzilishi wa CUF hakuwa Mwislamu. James Mapalala ndie aliyeanzisha CUF.
Sijui unataka kutetea ujinga gani nje ya mada. Hizo kauli nilizozitoa hapo na wadau wakaongezea ndio zilizonipelekea kusema niliyosema, sasa wewe bongo-lala unaropoka tu kuwa CHADEMA ni ya Wakatoliki, toa na wewe mifano hai ya mambo yenye kuonesha uhusiano wa CDM na kanisa Katoliki.
Yaelekea Kanisa Katoliki linawawasha sana, eti? Linazidi kuimarika kwa kuwa lina uongozi unaoeleweka na sio kuendeshwa kihuni huni mara leo madevu, kesho suruali fupi n.k
CUF haikuanzishwa kwenye Waislam wengi kilaza wewe, hata mwanzilishi wa CUF hakuwa Mwislamu. James Mapalala ndie aliyeanzisha CUF.