Iweje Usuluhishi wa matatizo ya mikataba na Uwekezaji isikilizwe nje nasio Mahakama Tanzania

Motowntzjpm

Senior Member
Jun 16, 2023
118
191
Hili swala la DEE PEEE Weldi na Jamhuri limeleta fursa ya tafakuri jadidifu.

Iweje kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania.

Tunakumbuka mhe Rais Mwenye alinukuliwa kusema mikataba mingi tuliyoingia ni ya ovyo na yamesababisha tupoteze fedha nyingi kulipa gharama za fidia.

Maoni yangu: Kesi iliyofunguliwa Mbeya ni fursa kwa mahakama yetu kuthibitishia watanzania kwamba yana utashi wa kuleta heshima kwa taasisi hii nyeti.

Mhe Rais wa Awamu ya tano alichangia pakubwa kufifisha heshima ya mahakama lakini ukweli ni kwamba mahakama yetu hayaja jenga heshima ya kuwa kitovu cha haki. Sharti hukumu ionyeshe hivyo.
 
Embu weka hapa hicho kifungu Cha mkataba ulichoona kinahusu habari Yako hii:

".... kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania".
 
Embu weka hapa hicho kifungu Cha mkataba ulichoona kinahusu habari Yako hii:

".... kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya T
Embu weka hapa hicho kifungu Cha mkataba ulichoona kinahusu habari Yako hii:

".... kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania".
Ndege ya ATC (na sio moja) ilikamatwa na sio moja kwa hukumu ya mahakama ipi? Ukipata jibu utakuwa umeelewa
 
Mimi nimeomba tuwekee hicho Kifungu hapa tukisome pamoja na tujadili pamoja Ili tuthibitishe kauli Yako. Vinginevyo unaongea vapour tu hapa
 
Jisomee ujiridhishe
Screenshot_20230718-130008.jpg
 
Kwenye Mahakama ya kaburu itaamua kipande cha Tunduma wapewe Wawekezaji hivi hawa Wanasheria wanaochaguana kila miaka huko Arusha wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom