Viongozi wa CUF wana matatizo gani ktk kufikiri?

for what i know n kwamba propaganda ni njia mbadala ya kushinda vita dhidi ya anaetumia bunduki.so twenden tu tutafika.
 
CUF ni sawa na mbwa anayejisaidia haja kubwa na kula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Peke yako ndio utakuwa kilaza!
Maana ya jf ndio hii kujadili hoja ikiwemo na kauli za viongozi wetu kama hawa!
Ndio maana tuna ambiwa ukiwa mtu maarufu unatakiwa uwe makini kwa kila unacho kinena!

Ni vizuri tukichambua kwa makini kauli za viongozi wetu na kuzi tafakari kwani zina beba maana!

jf inakoendea itatufanya tuwe vlaza sana coz hatuna haja ya kuhoji wala kufikiri,mtu akiandika chochote kuhusu ccm,cuf,tbc,kibonde na vingine vinavyochukiwa watu wanakubali tu bila hata kufikiri wala kuhoji..raha sana jf.
 
Nihoji, nipo hapa
 
Wanazo akili, kama unabisha anzisha Chama chako uone kama utapata wafuasi. Utampata mkeo tu! Acheni kutudhalilisha wana CUF!

Sasa anayeidhalilisha CUF ni mimi au yule anayesema 'Huwezi jua kuna mtego gani hapo', that was very pathetic.

Makamu wa Rais, anahamasisha watu kwenda katika jambo ambalo hata yeye hana uhakika, kweli?!

Shida ya akili za Ki-CUF CUF (Chuki Ugomvi na Fujo) ni kufikiri kama viongozi wane. Ufanyapo kitu cha kipuuzi hadharani na mtu akakuita mpuuzi, anayetukana hapo siye aliyesema wewe mpuuzi bali wewe unayefanya upuuzi.

Nenda kamwambie Jussa umetudhalilisha sana kusema Uzini tumeshindwa kwa kuwa kumejaa Wakristo
 
Peke yako ndio utakuwa kilaza!
Maana ya jf ndio hii kujadili hoja ikiwemo na kauli za viongozi wetu kama hawa!
Ndio maana tuna ambiwa ukiwa mtu maarufu unatakiwa uwe makini kwa kila unacho kinena!

Ni vizuri tukichambua kwa makini kauli za viongozi wetu na kuzi tafakari kwani zina beba maana!

Awe mara mbili?
 
jf inakoendea itatufanya tuwe vlaza sana coz hatuna haja ya kuhoji wala kufikiri,mtu akiandika chochote kuhusu ccm,cuf,tbc,kibonde na vingine vinavyochukiwa watu wanakubali tu bila hata kufikiri wala kuhoji..raha sana jf.

Umejiunga mwaka huu 2012 unajifanya mjuzi sana wa hoja za hapa JF
 
CUF sio chama cha Waislamu kama jinsi wachangiaji wanavyodai ni chama kililianzishwa eneo lenye waislaqmu wengi basi. Lakini hata hivyo mbona hata chadema ni chama cha wakatoliki lakini hatuhitaji kujadili tunataka kuona nini kinafanyika je? kina manufaa kwa jamii au la
 
CUF haikuanzishwa kwenye Waislam wengi kilaza wewe, hata mwanzilishi wa CUF hakuwa Mwislamu. James Mapalala ndie aliyeanzisha CUF.

Sijui unataka kutetea ujinga gani nje ya mada. Hizo kauli nilizozitoa hapo na wadau wakaongezea ndio zilizonipelekea kusema niliyosema, sasa wewe bongo-lala unaropoka tu kuwa CHADEMA ni ya Wakatoliki, toa na wewe mifano hai ya mambo yenye kuonesha uhusiano wa CDM na kanisa Katoliki.

Yaelekea Kanisa Katoliki linawawasha sana, eti? Linazidi kuimarika kwa kuwa lina uongozi unaoeleweka na sio kuendeshwa kihuni huni mara leo madevu, kesho suruali fupi n.k
 
Ndio shida ya kutanguliza miguu badala ya kichwa hii.
 
hata mimi nashanga wakati muanzilishi mzee mtei ni mlutheri
 
Back
Top Bottom