Viongozi wa Chadema ni malaika?

Nilibandika nyuzi mbili zinazoongelea fikra za Mbowe alizozisema waziwazi kuhusu kuiongoza Tanzania kuigawa kwa kanda, hizo nyuzi zikafutwa haraka sana. Nashangaa sana, kaa ni wazo la Mbowe na ni wazo zuri, kwanini moderators wafute harakaharaka hizo nyuzi na zisijadiliwe. Inaweza kuwa ni malaika wa motoni.
 
Si malaika ila shhda ni pale mleta mada anakuja na mada ya kimagamba lazma tuhoji
 
WanaJF, inakuwaje pale mtu anapotokea kuhoji juu ya viongozi wa Chadema, basi wengi huja na majibu makali hata matusi? Je, wao ni malaika, hawakosei chochote? Msipokuwa makini, mtaifuga mijitu ambayo ni mamluki na wezi kama wale wa ccm, mwisho wake ushawishi wenu utashuka na kupotea kabisa. Lazima umakini ufanyike, msihoji mambo kwa kuongozwa na mapenzi na hisia, ila mantiki ya jambo..! Nadhani hata chadema wanapnda wanachama na mashabiki wao wawe hivyo (critical thinkers), na si wale wa kufuata mkumbo, kwani siku moja watageuka njiani. Nachukia sana siasa, na naumia sana inavyowafunga watu macho! Sio mbaya, piteni humo, mkishajua thamani halisi ya UTU, mtarudi na tutaungana na kupigania furaha ya kweli-UTU! Mungu wetu anaita!

Ndiyo ni makaika.Ficha upumbavu wako!
 
Fikiri kabla yakuandika we mleta thread ya kifala.

Lengo ni kutaka sisi kama wananchi, kuwaongoza hao tunaotaka kuwapa dhamana, ni watumishi wetu lazima tuwaandae, ndio maana nikataka tuwe na mawazo yanayojenga, na lengo halikuwa kuhoji uperfect wa chadema. Sasa katika hili, ndipo niliposhangaa kuona majibu kama hilo hapo juu, ni upenzi na hisia au mantiki. Tukiwaogopa kabla ya kupewa dhamana, wakishapewa tutaweza kuhoji? Au mnadhani hakitakuwepo cha kuhoji?
Mungu wetu anaita!
 
Sawa, chadm ipo kwa maslahi ya watanzania! Swali, ni je kila aliyepo chadma yupo kwa ajili ya watanzania? Hakuna mamluki ndani yake wenye maslahi ya matumbo yao? Tusihoji juu ya uwepo wao? Unadhan tusipohoji, watakipeleka wapi chama? Naogopa sana hao wanaoachia madaraka ccm ghafla, na kupokewa chadema, nashaur chdma iwachunguze sana! Siasa ni propaganda ndani yake, anaweza kung'oka hata Makamba kuja chadema ili kukiua, kama watakuwa wame-set interest za chama chao, Mrema si mmemuona! Si kila anayetoka ccm na wadhifa, basi akifika chadema atafutiwe wadhifa wake, hapana, wengine wawe wanachama wa kawaida, na ikibid wengine wanyimwe hata kadi wawe mashabiki tu! Labda mimi sijui.....ila ndicho nachoona.
Mungu wetu anaita!

Kweli wewe ni mjinga, si tu wa Falsafa, bali wa akili za kawaida pia. Umeona nani aliyetoka Chama cha Magamba akiwa na wadhifa ameshapewa wadhifa CDM? Au unapiga porojo na blaa blaa? Hatuna nafasi na majungu, rudi ukayaendeleze kwa Magamba wenzio. Au umetumwa?
 
Kweli wewe ni mjinga, si tu wa Falsafa, bali wa akili za kawaida pia. Umeona nani aliyetoka Chama cha Magamba akiwa na wadhifa ameshapewa wadhifa CDM? Au unapiga porojo na blaa blaa? Hatuna nafasi na majungu, rudi ukayaendeleze kwa Magamba wenzio. Au umetumwa?

mkuu lisemwalo lipo??
Na kama halipo basi ujue linakuja??

 
Kweli wewe ni mjinga, si tu wa Falsafa, bali wa akili za kawaida pia. Umeona nani aliyetoka Chama cha Magamba akiwa na wadhifa ameshapewa wadhifa CDM? Au unapiga porojo na blaa blaa? Hatuna nafasi na majungu, rudi ukayaendeleze kwa Magamba wenzio. Au umetumwa?

Labda kweli mimi jinga, lakini sijui.....! Pr. Safari, Mpendazoe ni wanachama wa kawaida Chadema kama wewe? Simaanishi wao ni mamluki tafadhali. Na lengo langu ni kuhoji juu ya fikra za wanaJf kuhusu chdm. Msiwe wakali kiasi hcho, na msidanganye "mtu makini hupigania mantiki, na si mfumo...kwani mantiki hubadilisha na kuweka mifumo, lakini mfumo hauwezi kubadilisha mantiki kamwe" Niwaombe radhi tena, labda mimi jinga. Lakini... Mungu wetu anaita!
 
Comments za malaya kama huyu unategemea aachwe tu hivihivi, hapana. Ukileta mambo ya kujenga unakula likes nyingi, ikileta uzandiki wa kutumiwa kama kondomu tunakuvua nguo tuone umetumika kiasi gani

Duh.., mkuu hapa umeponda utosini kabisa..!
 
Watu walishahoji haya toka zamani ila watu hawafunguki tu.
 
Back
Top Bottom