Viongozi wa Chadema ni malaika?

a4afrika

JF-Expert Member
Apr 13, 2012
1,389
1,330
WanaJF, inakuwaje pale mtu anapotokea kuhoji juu ya viongozi wa Chadema, basi wengi huja na majibu makali hata matusi? Je, wao ni malaika, hawakosei chochote? Msipokuwa makini, mtaifuga mijitu ambayo ni mamluki na wezi kama wale wa ccm, mwisho wake ushawishi wenu utashuka na kupotea kabisa. Lazima umakini ufanyike, msihoji mambo kwa kuongozwa na mapenzi na hisia, ila mantiki ya jambo..! Nadhani hata chadema wanapnda wanachama na mashabiki wao wawe hivyo (critical thinkers), na si wale wa kufuata mkumbo, kwani siku moja watageuka njiani. Nachukia sana siasa, na naumia sana inavyowafunga watu macho! Sio mbaya, piteni humo, mkishajua thamani halisi ya UTU, mtarudi na tutaungana na kupigania furaha ya kweli-UTU! Mungu wetu anaita!
 
Mtanisamehe wanaafrika wenzangu wa Tanzania, kumbe limeshajadiliwa, ugeni ndio ulionisumbua! Ila hilo ndilo la kwanza kukutana nalo, na limenishtua sana na kunikera, nikajiulia, are the Great Thinkers used to be? Naomba radhi! Timbilimu usiongozwe na hisia ndugu, umiza kichwa. Mungu wetu anaita!
 
chadema ni genge la wahuni wanaotaka kuipeleka nchi kwenye vita kama Congo ili watoroshe raslimali.
 
Binafsi nishawahi kuwachambua na naendelea kuwachambua viongozi wa CHADEMA vilivyo.Hapa hapa JF. Na sijaona mtu yeyote kutaka kunishambulia isivyo halali -kama kitu kama hicho kinawezekanika kwa huyu hayawani wa spinjitsu aitwaye Kiranga-.

Juzi tu nimemsema Zitto kwamba alikosa tact na calculations kwa kusema kwamba ameandaa move ya kutaka kumuondoa Waziri Mkuu peke yake, na kwamba amepata pressure za watu wa Norway.

Wadau wengi tu wakanielewa na kunigongea thanks.

Tushawashikia bango CHADEMA kwa sana tu humu, wengine marehemu, sitataka kusema sana. Na kipindi fulani kulikuwa na sentimentalism, lakini over time watu waliokuwa na uchunguzi waligundua.

Kwa hiyo kama kuna habari ya CHADEMA kuabudiwa mie sijaiona. Nishawahi kumwambia Dr. Slaa arudi kujifunza Kiswahili sawasawa baada ya kuboronga lugha katika mahojiano yake na Mwanakijiji. Waliokuwemo siku nyingi humu watakumbuka thread.

Mie sina chama, ni "equal opportunity critic", naenda na ideas, iwe CCM au upinzani. Nikisikia watu wa JF wanalundikwa wote katika kundi moja kwamba hawaruhusu CHADEMA iwe na mabaya naona anayesema hivyo ni mvivu tu.
 
Nani kasema Chadema inaongozwa na malaika? Wewe waona hukumu ya lema ni halali? Je, Dr Slaa kutishiwa kukamatwa na Polisi kwa kuhoji wabunge wa CDM kupigwa mashoka inakufurahisha? Je, Mbowe kukodiwa ndege toka DSM mpaka Arusha kupelekwa Mahakamani waionaje wewe?! KWELI KUWA MWANACHAMA WA CCM, INATAKIWA UWE NA AKILI KAMA MAITI. Chadema ipo kwa ajili ya maslahi ya watanzania kwisha na si vinginevyo.
 
chadema ni genge la wahuni wanaotaka kuipeleka nchi kwenye vita kama Congo ili watoroshe raslimali.

Join Date : 15th April 2012

Posts : 157
Rep Power : 297
Likes Received 11

Likes Given 0

Judiiiiii.... Kwema lakini? Habari za kona bar? Naona leo umewahi kurudi.....

chadema ni genge la wahuni wanaotaka kuipeleka nchi kwenye vita kama Congo ili watoroshe raslimali.

Comments za malaya kama huyu unategemea aachwe tu hivihivi, hapana. Ukileta mambo ya kujenga unakula likes nyingi, ikileta uzandiki wa kutumiwa kama kondomu tunakuvua nguo tuone umetumika kiasi gani
 
Mtanisamehe wanaafrika wenzangu wa Tanzania, kumbe limeshajadiliwa, ugeni ndio ulionisumbua! Ila hilo ndilo la kwanza kukutana nalo, na limenishtua sana na kunikera, nikajiulia, are the Great Thinkers used to be? Naomba radhi! Timbilimu usiongozwe na hisia ndugu, umiza kichwa. Mungu wetu anaita!

Tatizo lako sio ugeni,ila ID uliyotumia inashadidia unayaandika,wewe unafahamu kabisa kuwa viongozi wa Chadema ni wanadamu kwanini uhoji kama ni malaika?Ulipaswa kujenga hoja mahsusi kwa viongozi husika ili tuone mantiki yake,nashauri ubadili ID la sivyo utaambulia negative reply daima si unajua jina laweza kuendana na tabia?
 
Wewe ukiwa kama mwanadamu uliyezaliwa na mwanamke ilibidi kujiuliza kwanza hilo swali wewe kisha ndio uje uullizie kuhusu wanadamu wenzako waliozaliwa na mwanamke kama wewe,labda kama wewe unayeuliza hapa si mwanadamu mwenzetu bali ni shetwain,ruhani,pepo mchafu,msukule, au jini.
 
Nani kasema Chadema inaongozwa na malaika? Wewe waona hukumu ya lema ni halali? Je, Dr Slaa kutishiwa kukamatwa na Polisi kwa kuhoji wabunge wa CDM kupigwa mashoka inakufurahisha? Je, Mbowe kukodiwa ndege toka DSM mpaka Arusha kupelekwa Mahakamani waionaje wewe?! KWELI KUWA MWANACHAMA WA CCM, INATAKIWA UWE NA AKILI KAMA MAITI. Chadema ipo kwa ajili ya maslahi ya watanzania kwisha na si vinginevyo.

Sawa, chadm ipo kwa maslahi ya watanzania! Swali, ni je kila aliyepo chadma yupo kwa ajili ya watanzania? Hakuna mamluki ndani yake wenye maslahi ya matumbo yao? Tusihoji juu ya uwepo wao? Unadhan tusipohoji, watakipeleka wapi chama? Naogopa sana hao wanaoachia madaraka ccm ghafla, na kupokewa chadema, nashaur chdma iwachunguze sana! Siasa ni propaganda ndani yake, anaweza kung'oka hata Makamba kuja chadema ili kukiua, kama watakuwa wame-set interest za chama chao, Mrema si mmemuona! Si kila anayetoka ccm na wadhifa, basi akifika chadema atafutiwe wadhifa wake, hapana, wengine wawe wanachama wa kawaida, na ikibid wengine wanyimwe hata kadi wawe mashabiki tu! Labda mimi sijui.....ila ndicho nachoona.
Mungu wetu anaita!
 
Hakuna aliyesema viongozi wa CDM ni malaika lakini system ya uwajibishaji ya CDM kama ni breki basi nta na kwa upande wa CCM zimefeli, yaani hakuna hata brake pads!!!!
 
Sawa, chadm ipo kwa maslahi ya watanzania! Swali, ni je kila aliyepo chadma yupo kwa ajili ya watanzania? Hakuna mamluki ndani yake wenye maslahi ya matumbo yao? Tusihoji juu ya uwepo wao? Unadhan tusipohoji, watakipeleka wapi chama? Naogopa sana hao wanaoachia madaraka ccm ghafla, na kupokewa chadema, nashaur chdma iwachunguze sana! Siasa ni propaganda ndani yake, anaweza kung'oka hata Makamba kuja chadema ili kukiua, kama watakuwa wame-set interest za chama chao, Mrema si mmemuona! Si kila anayetoka ccm na wadhifa, basi akifika chadema atafutiwe wadhifa wake, hapana, wengine wawe wanachama wa kawaida, na ikibid wengine wanyimwe hata kadi wawe mashabiki tu! Labda mimi sijui.....ila ndicho nachoona.
Mungu wetu anaita!

unaelekea kutupoteza sasa jingala falsafa. Kwani unachokizungumzia ni uperfect wa viongozi wa CDM ama viongozi wa Magamba kuhamia CDM?
Anza na moja halafu amzisha uzi mwingine uzungumzie la pili.
 
Back
Top Bottom