Viongozi wa CHADEMA kupandishwa kizimbanii leo

Mkuu hapo ni balaa ujue kama kwa watu kama Dr wanafanyiwa hivyo mwanannchi wa pale kaloleni ambaye hajui hili wala lile au wa pale soko mjinga ambaye hajui hata haki zake ni zipi anafanyiwa nini
Sisi ni kutwangwa risasi tu
 
tuto nje ya mahakama kuu tukisubiri kuitwa ili kesi ianze..
 
hakimu anasoma sababu ziliwafanya viongozi washindwe kufika mahakamani trh 27 .5
 
bado anaendelea kusoma aliyoyasema wakili wa serikali kuhusiana na ujauzito wa mke wa dr na kuwa dr alikuwa dar na si alivyodaikuwa aliharibikiwa na gari maeneo ya same..
 
hakimu amekubaliana na hoja ya upande wa washitakiwa kuwa kwanini hawakuweza kufika mahakamani trh 27.5
 
hakimu ametoa ya amri ya kukamatwa kwa mshitakiwa namba 1 na 3 wakamatwe kwani hawajatoa sababu yoyote..
 
wadhamini wanasimama, wanasema juzi walikuwepo kuwa wakirisha watuhumiwa kama mahakama ilivyotaka..ni mabishano ya wakili wa watuhumiwa na hakimu
 
ni mdhamini wa wa Ndesamburo anasema juzi alikuwepo ila aliogopa kuongea, akisubiri aitwe na hakimu anakili alimuona juzi ila anashangaa kwanini hakusema kuwa yeye ni mdhamini wa ndesa, amemuuliza je ulikuwa hujui umemdhamini nani
 
anapewa nafasi ya kuongea anasema mshitakiwa yuko kwenye shughuli za kibunge ila hajui kiundani
 
hati ya kukamatwa mshitakiwa namba tatu imefutwa lakini ya mshitakiwa namba moja inabaki pale pale yaani mbowe anatakiwa kumatwa..
 
bado anaendelea kusoma aliyoyasema wakili wa serikali kuhusiana na ujauzito wa mke wa dr na kuwa dr alikuwa dar na si alivyodaikuwa aliharibikiwa na gari maeneo ya same..

Sasa mke tena? si nilisikia hawara yake ndie mwenye mimba? au ndio mimba double?
 
hati ya kukamatwa mshitakiwa namba tatu imefutwa lakini ya mshitakiwa namba moja inabaki pale pale yaani mbowe anatakiwa kumatwa..

Jamani kuna tatizo gani kwa Mbowe hata ishindikane kuwakilishwa Mahakamani? Hali hii itamdhalilisha na kukidhalilisha Chama. Mwenye taarifa zaidi atujuze Wakuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom