Viongozi wa CHADEMA kupandishwa kizimbanii leo

Kesi inaendelea, mashataka yanasomwa for initial hearing. Mahakama inegeuka Kama soko pale wakili wa serikali alipokuwa aki nukuu baadhi ya maneno yaliyosemwa kwenye mkutano na maandamano siku ya tukio.
Wananchi wanashangilia mahakamani,

wakili wa utetezi ndio anasimama sasa.
 
Wakili wa serikali ameingilia anadai anataka mahakama ieahiji kwanza washatakiwa Kama wanakubalu au kukataa.
Wakili wa utetezi anasema washatakiwa watahojiwa Kama wanakubalu au kukataa baada ya yeye kuongea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom