Viongozi wa CHADEMA kupandishwa kizimbanii leo

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Viongozi na Wanachama wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo leo saa saba watapanda kizimbani mkoa ni Arusha, kujibu mashitaka ya kukataa kutii amri ya RPC wa mkoa wa Arusha iliyowataka kutokufanya maandamano yaliyofanyika tarehe 5 januari 2011.

Watuhumiwa wakesi hiyo ni:

Freeman Aikael Mbowe,

Dr. Wilbroad Peter Slaa, Philemon Ndesamburo, Derick
Magoma Junior, Godbless Lema, Joseph Roman Selasini, Richard Christopher Mtui,
Josephine Slaa, Acquiline Gervas Chuwa, Dady Igogo, Juma Samwel Wambura,
Basil lema, Kenndedy George Bundala,

Proches Kimario, Nai Stephen, John
, Raymond Materu, Eusebio Martine Akaro, Bakari Issa Idd Kijuu, Goodluck Kimario, Elisante Noel, Kelvin Nicholaus Onyango, Michael Daudi Kimario, Prosper
Kimario, Peter Marua, Frank Loghathi, Mathias Valerian, Walter Mushi, Pancras
Victor Kimario, Swalehe Salimu, Mevorongori Lukumay na Daniel Taitasi...

======

Kesi imehairishwa mpaka tarehe 21-10-2011...baada ya washitakiwa wawili kutofika mahakamani nao ni Josephine na Ndesamburo kwa sababu tofauti: Josephine ana udhuru mpaka tarehe 2-10-2011 na Ndesamburo aliyeko nje ya nchi kwa matibabu naye ana udhuru mpaka tarehe 17-10-2011
 
Kimsingi ni kupotezea muda,bila sababu,maana ni swala lipo wazi,ila tutapambana hadi kieleweke
 
Hawa viongozi wa ccm wanalitumia jeshi la polisi Kama mtaji wao kisiasa kwa kuwakamata viongozi wa upinzani hovyo hovyo.Watajitahidi sana kuibadilisha mbili kuwa nne lakini haitawezekana
 
Mkuu too late for them to catch the morning train ishawahi imewahi tuu wajiandae mambo yako moto moto
 
Hawa viongozi wa ccm wanalitumia jeshi la polisi Kama mtaji wao kisiasa kwa kuwakamata viongozi wa upinzani hovyo hovyo.Watajitahidi sana kuibadilisha mbili kuwa nne lakini haitawezekana
na hio ndo dalili ya kufilisika ki siasa mkuu,tunataka kesi iendeshwe haraka ili makamanda wetu wawe huru,na huu ulikuwa ni mtego tu ili kuangalia kama akina Slaa watafika au la ili wapate tena sababu ya kutaka kuwakamata na kuwadhalilisha,hakimu kupitia faili ndo kazi yake kimsingi.,wala haitaji mpaka aahilishe kesi purposely eti ili apitie fail maana anao muda wa kutosha hata nje ya proceedings kulipitia jalada. NOTHING MORE THAN DELEY TECHNICS na kuwapotezea watuhumuiwa muda pamoja na gharama zisizokuwa na msingi. SHAME ON THEM.....
 
Mpaka kero..anapitia jalada.... siku zote alikuwa anafanya nini? au ndiyo alivyo agizwa....
 
Maagizo hayo mkuu acheleweshe kesi ili kila siku wabunge wako kiguu na njia na kesi wanasahau kazi za kuwatumikia wananchi wao
 
WanaJF,
Ninaingia hapa kwa kuwa kwa kweli nimeshangazwa na Wakili wa Serikali ambaye hoja zake zote ni vioja tupu. Baada ya hakimu kutoka nilimconfront na kumwuliza "mbona unasema uwongo wa wazi ulishiundwa kufanya utafiti japo kidogo? Yeye alisema Dr Slaa hakufika makusudi kwa kuwa siku hiyo alikuwa Dar kwenye Mkutano wa uchaguzi wa Bavicha. Akasema Dr Slaa siku hiyo amenukuliwa na vyombo vya habari". Uchaguzi wa VBavicha ulikuwa tarehe 28/5. Kwa kweli inatia hasira watu waloiosomeshwa kwa kodi ya walalahoi kujenga hoja za uwongo. Nilipomba akasema "Nilikuwa ninatikisa Kiberiti Mzee" Naiweka hapa ili mmuelewe aina ya Serikali na vyombo vya serikali tulivyo navyo. Yaani katika maswali ya msingi mtumishi wa Serikali unathubutu kufanya utani wa kiasi hicho!

Atakuwa kashauliza afanyeje na jalada la kesi hiyo mkuu atakuja na sababu
 
Asante Dr. Slaa kwa kutujulisha, huyo wakili ni bogus kweli katika mambo ya msingi analeta utani/uongo anasema alikuwa natikisa kiberiti what a joke is, naomba siku ya Alhamisi uyaseme hayo maneno mbele ya hakimu aone ni jinsi gani alivyodanganywa na ni jinsi gani wakili wa serikali anavyochezea muda wa mahakama. Halafu nimependa jana mlivyowajibu polisi kuwa wamekuja kuwakamata wawapeleke wapi wakati tayari mko mahakamani na mliitwa na mahakama kwani huko polisi kuna mahakama nyingine.
 
WanaJF,
Ninaingia hapa kwa kuwa kwa kweli nimeshangazwa na Wakili wa Serikali ambaye hoja zake zote ni vioja tupu. Baada ya hakimu kutoka nilimconfront na kumwuliza "mbona unasema uwongo wa wazi ulishiundwa kufanya utafiti japo kidogo? Yeye alisema Dr Slaa hakufika makusudi kwa kuwa siku hiyo alikuwa Dar kwenye Mkutano wa uchaguzi wa Bavicha. Akasema Dr Slaa siku hiyo amenukuliwa na vyombo vya habari". Uchaguzi wa VBavicha ulikuwa tarehe 28/5. Kwa kweli inatia hasira watu waloiosomeshwa kwa kodi ya walalahoi kujenga hoja za uwongo. Nilipomba akasema "Nilikuwa ninatikisa Kiberiti Mzee" Naiweka hapa ili mmuelewe aina ya Serikali na vyombo vya serikali tulivyo navyo. Yaani katika maswali ya msingi mtumishi wa Serikali unathubutu kufanya utani wa kiasi hicho!

Asante sana Mkuu kwa kutujulisha haya na kutupa taarifa ya nini kilichoendelea mahakamani leo na pia kutuhabarisha aina ya watoa maamuzi tulio nao ambao wanalipwa kuhakikisha kuwa haki haitendeki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom