Viongozi CHADEMA waivuruga CCM Iringa na kuondoka usiku usiku

Hiyo mikoa niliyo bold kuna wafuga ndevu wengi sana na zile suruali fupi fupi! Bila shaka unajua nina sema nini!!


hahahahaha! Kumbe ni kweli CDM ni chama cha wala kitibaridi? Bora mmeamua kuanika ukweli wenu.
Itabidi wafuga ndevu nao waanzishe cha kwao chama, wenzetu mmewahi.
 
Nimepata hofu sana baada ya kuona hizi picha...... Kuna alarm ya hatari ina gonga kichwani mwangu..... Eeehh! Mungu tuokoe waja wako tu hatarini kumezwa na bahari!
 
Hiyo mikoa niliyo bold kuna wafuga ndevu wengi sana na zile suruali fupi fupi! Bila shaka unajua nina sema nini!!

Kwani kura za wanyoa ndevu, wavaa vi-mini na misalaba hazitoshi? ila waambie waanze na Kigoma kwanza..naona waliahirisha. Halafu waje Tanga n.k

Nilidhani walipokuwa Songea wangeendelea mpaka Namtumbo,Tunduru wakatokea Masasi, Newala, Lindi Mjini, Mtwara,Kilwa, Rufiji, Bagamoyo...kumbe wooote hawa ni wavaa nguo fupi....duuuuuh!!! amakweli CDM ni chama cha wanyoa ndevu na wavaa misalaba.

CDM kama wanadhani kama wataingia Ikulu wakiibagua mikoa hii inayoitwa ya wavaa nguo fupi na ndevu basi wasahau ndoto yao hiyo, unless kama ndoto zao ni kuongeza Ruzuku tu, ila kama nikushika dola basi wasahau.
 
CCM walijisahau miaka kadhaa nyuma wakadhani watanzania wataendelea kuimba nyimbo zao na kuvaa maguo ya Hamas no way mwisho wao ndiyo huu ila nina wasi wasi watatumia risasi kutawala wataua sana watu
 
nimeona picha hizi! NIMETOKWA NA M,ACHOZI YA FURAHA! NIMETAMANI SANA NA MIE NIWEPO HAPO! NINA HAMU YA TANZANIA ILIYOJAA AMANI TELE.....AMBAYO KILA MWANANCHI ATAKUWA NA AMANI NA UHAKIKA NA MAISHA YAKE !!! 2015 NI MBALI SANA.....NAOMBA IWE HATA LEO!!!!

MUNGU IBARIKI CHADEMA!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!
 
Huyo msigwa jumba la kifalme amelipataje,wakati wapiga kura wake wanalala njaa! Bila shaka hizo ni sadaka za waumini wake.
 
Wanasema Chadema chama cha vurugu na uvunjifu wa amani. Mbona katika umati huo hakuna aliyeripoti kuibiwa hata simu? Biashara za mjini mbona hazikuadhiriwa na lolote? Tuache uvuvuzela, Ni wakati wa kutangaza hadharani kuwa Chadema ndio chama cha Amani na kujali haki za Raia wa nchi hii. Na hakitaki UKONDOO, yaani kuonewa na kunyamaza.

Hapo umenena,bana,hii inazidi kudhihirisha inteligensia ya Arusha ilikuwa ya kupikwa
 
Huo mnuso wangeufanywa na ccm na mfadhili angekuwa Rostam, basi humu jamvini mngewaita majina yote mabaya, lkn kwakuwa ni wao malaika toka cdm basi mnamwaga misifa tu!
 
Wanasema Chadema chama cha vurugu na uvunjifu wa amani. Mbona katika umati huo hakuna aliyeripoti kuibiwa hata simu? Biashara za mjini mbona hazikuadhiriwa na lolote? Tuache uvuvuzela, Ni wakati wa kutangaza hadharani kuwa Chadema ndio chama cha Amani na kujali haki za Raia wa nchi hii. Na hakitaki UKONDOO, yaani kuonewa na kunyamaza.

viwavi wa maganba ni waongo sana mkuu.
 
Mkuu umeisahau dar aswa aswa chama bovu temeke,temeke yetu kuna watu wenye fikra mgando.
Tunaisubiriiiii hiyo dar
 
Na yule mfuga majini wa pale magomeni kagera sheikh ubwabwa ameshakufa, sasa sijui hawa ccm watamtumia nani tena kutishia watu na majini!

Kuna mwingine yuko Bungeni wanamwita 'Profesa' Maji Marefu; nchi yetu sijiu imekuwaje, yaani Wstawala wanajisikia faraja na salama kukaa na Wachawi hadi Bungeni. Hicho chama kilichompitisha huyo ili awe Mbunge kilaaniwe, na hao wananchi waliomchagua huyo kuwa Mbunge wao wamejichagulia umasikini na hofu!
 
Back
Top Bottom