Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Inaelekea hiyo ni tuzo kwa nchi zinazoshika mkia katika maendeleo ya dunia. Hata daraza la mabongolala huwa lina kipanga wao.
Inaelekea hiyo ni tuzo kwa nchi zinazoshika mkia katika maendeleo ya dunia. Hata daraza la mabongolala huwa lina kipanga wao.
nisaidie kiongozi, kafanya nini ili nami nijue?
Ina maana hujayaona yalivyomwagika mjini?? Ni VX au GX V8 "KILIMO KWANZA", kweli kajitahidi kuyanunua, congrats Mhe President!!!
Anastahili si majuzi tuu alionyeshwa akimenya mahindi aliyovuna shambani kwa Bagamoyo?
Nimekuuliza kwa sababu unaongea mambo kama idiot. Unauliza serikali ya awamu ya nne imefanya nini kwenye kilimo? either wewe ni idiot au hauna touch kabisa na kilimo, ndio maana nimekuuliza wewe ni mkulima? Sasa jijibu mwenyewe kundi lipi kati ya hayo mawili linakufaa...
Huyo jamaa mtoa tuzo ametoka wapi? Naona alianza na Inkosikati Ntombi kisha akaenda kwa viongozi wa Afrika kusini mwa jangwa la sahara. Asije akawa anainyemelea ardhi au asije akawa ndiyee muuza matrekta yale ya Kihindi.
Asante sana kwa kuwa na akili nzuri sana na kuona kuwa JK kapiga hatua kubwa sana kwenye kilimo wakati mwanzo wa mwaka huu watu wamelalamika njaa manyara, singida na kilimanjari hadi serikali ikaruhusu kuingizwa kkwa mchele bila ushuru toka nje. Hii njaa imetokea mwaka huu kwenye nchi ambayo rais wake amepewa tuzo kwa kuboresha kilimo mwaka huu. Asante mkuu una akili sana wewe
Duu Mazizi mazuri kiliko hata baadhi ya madarasa mengi nchini wanayosomea wanafunzi/watoto wetu
kwa hiyo kikwete hana zuri alilolifanya? acheni hzo nyinyi
Hii radio bado inasikilizwa na binadamu kweli? Ama kweli, hii dunia ina viumbe vingi zikiwemo takataka kama huyu!Sitakuwa na muda wa kukueleza kila kitu hapa. Ila waweza kufunguka macho kwa kusikiliza mara kwa mara RTD na kuangalia TBC1. Kuna vipindi vizuri sana vya mafanikio yetu kwenye kila nyanja ikiwa ni pamoja na kilimo. Utashangaa kwamba tumepiga hatua sana na dunia inasifia maendeleo yetu hususan kwenye kubadilisha kilimo.