SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,384
- 892
- Thread starter
- #81
safari hii hamna gori la mkono
Wenje harudi bungeni,Mabula ndo mbuge
Wewe gamba mdongo unajifariji tu Wenje anarejea mjengoni mapema tu.
Tawaza kwanza haraka ya nini ona unachotuleteaWenje harudi bungeni,Mabula ndo mbuge
Hicho ni kigogo mkuu maana yake" majamaa yamechukua nchi tayari"hahaha sijaelewa hapa ila najua ni furaha
VIVA UKAWA!!
Hivi mmeshawai ona hawa masisiemu wakileta picha za mikutano ya wabunge wao??
Victoire, majibu kama haya yanakupunguzia hadhi mwanangu! Waachie vijana waliojiunga July, August, September na October mwaka huu 2015!
Jibu lazma litoke moyoni na uwe unaliamini!Wenje harudi bungeni huo ndio ukweli!