Vincent Nyerere na Wenje waishangaza Musoma mjini leo

SIMU YA TOCHI

JF-Expert Member
Dec 12, 2014
1,384
892
Mkutano uliofanyika leo Musoma Mjini uwanja wa posta ukiongozwa na Kamanda Vincent Nyerere na mgeni wake kamanda Ezekiah Wenje ulikuwa wa aina yake kwa kweli mapokezi yalikuwa ya kutosha.

Kabla ya uchaguzi haujaisha tayari CHADEMA/UKAWA tumeshinda, Nyerere ni mbunge tena na Rais Lowassa.
 
Asanteni sana Musoma, machungu na manyanyaso ya CCM yanafikia tamati Oktoba 25...!

Musoma2.jpg

Musoma1.jpg

Musoma3.jpg

Musoma4.jpg

Musoma5.jpg

 
Mathayo hana chake hapa musoma, kama alishindwa 2010 akaenda kuchukua madawati kwenye shule alizozipa msaada kwahiyo hafai kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom