Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

huyo mzee kajitakia mwenyewe kujifanya hayawani siasa za maji taka ndio matokeo yake,haya sasa mwanafamilia kayasema hayo na akumbuke kuwa yule aalikuwa baba yake mkubwa,unafikiri hakuna siri hapo wanayoijua!!hy ndio SIHASA
 
Nakumbuka hata wtoto wa mwalimu walimshutumu dr Mwakyusa live kuwa alichangia kifo cha baba yao baada ya hapo uwaziri...... something is very wrong!!
 
Watz ni wakati wja vilio na maomboleo. Kumbe mkapa kamuondoa nyerere duniani. Daaah machozi yameanza kudondoka! Kwa sababu chimbuko limeanzia arumeru, ukweli utadhirika vry soon
 
Hii mambo tumekuwa tukiisikia tu mitaani, na nyerere alisema mwisho mtabinafsisha hadi magereza, ze nkapa alichukia akaamua kurestisha kwa nguvu.Alisahau kwamba mwalimu alizomewa kwa mara ya kwanza pale morogoro akiwa anamnadi huyu muuwaji, lakini lenyewe limesahau muraaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki(Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.
Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere
Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu,huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia,alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa(kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.
Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...
Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa jamii Forums

“When you rattle a snake, you must be ready to be bitten by it" John Michuki. Hamna rangi Mkapa ataacha ona chalii yangu!
 
Lakini kwanini huyu Mkapa aliamua kumuua Mwalimu, na KUTULIZA MACHOZI Watanzania wenzie, watu wazima, kiasi kile?
Alishindwa kabisa kujadiliana naye na kuukubali ushauri wa Mkubwa wake?
Bwana Mkapa, kama ni kweli tueleze ulitumia sumu gani broda?...au kuna reserve ya Pollonium-210 huko jumba jeupe?

Kwanin i ulipitia kumwona pale Saint Thomas ulipotokea Davos, ulikuwa unataka kujua kama zoezi lako linafanya kazi?
Na ulipokuwa unatembea na mwili wa Mwalimu ukiwa uMekaa kwenye gari la jeshi ulikuwa unawaza nini kichwani?
Kikulacho ki Nguoni mwako!...Pole Mama Maria Nyerere, Mama yetu Mjane!(Ujane wa kusukwa)
My hairs
!
 
Mzee Mkapa, achana na vijana hawa huwawezi!! Watakuvua nguo mbele ya Mama mkwe!!
Si unajua haka ka ishu kalivyo? Kumbuka mara yakwanza ulivoenda kumshauri Mwalimu majibu aliyokupa, ukaona haitoshi ukamualika Magogoni Mzee akagoma kuja ikabidi uagize watu ili kumshawishi? Mwalimu akahoji "afya yangu Rais Mkapa inamnyima nini?" Na majibu mengine ambayo watumwa wako waliona aibu kukueleza!! Baada ya hapo....si uanakumbuka lakini?

I 'll be back.

Hapa kuna dots za kuunganisha! Endelea mkuu...
 
Hili sasa ni tusi! Huyu mzee atajisafisha vipi hadi tumwelewe? Ingekuwa Usukumani huyu angechezea mapanga yaliyokaa kwenye kinoo mwezi mzima nyambaf zake! Sihasa kama huna roho ya chuma cha pua unaweza kupigana haki ya nyani! Huyu mzee badala ya kutulia na kuendelea kufyonza pension anajitia kimbelembele anafikiri madogo wanachelewa? Ona sasa yamemshuka! anafikiri wope wana roho kama ya Makongoro? Kaaaazi kweli kweli Che Nkapa!
 
Hapa kuna dots za kuunganisha! Endelea mkuu...

yule mzee aliumia kuuzwa kwa su kama njugu hususani nbc na mikataba ya migodi.wakamzima wakapeana ulaji akina mpungwe,mboma mramba yona nk ni
beneficiaries
wakina kolimba,kombe nk ni waathirika...huu mchezo wa mwakyembe haukuanza leo..bora enzi za mwalimu unawekwa dentetion mafia au kigamboni au ukiweza unaenda uk kama kamnona na babu lakini hii ya kiziraili ni umajinuni kabisa
 
Back
Top Bottom