Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Keil,

Hizi habari zimenipita sana mwenzio kushoto. Nafikiri kwa sababu ya kukaa sana Sikonge tangu nilipomaliza JKT. Mengi yanayotokea Dar kwa kweli ni kusoma hapa JF, kwenye mitandao au nikiongea na Mtanzania.

Hii habari sijawahi kuisikia kabisa na kwa kweli imenishangaza mno. Nakumbuka kuangalia mazishi ya Nyerere kwenye BBC na CNN na kumuona hadi Mama Clinton akija Tanzania. Sikutegemea kuwa Mkapa atakuwa mkatili namna hiyo na mtu aliyeweka pesa mbele hadi kumtanguliza Mwalimu wake na mtu aliyemuweka madarakani.

Nakubaliana na wewe kuwa Dr. Slaa au Mbowe au Zitto, wampige STOP huyu V. Nyerere na hii habari asiiongelee tena. Kama sumu kashatema na mengine acha yaanze kushuka kwa gravitation force.

Ngoja nilale na asubuhi ntaamkia hapa kuifuatilia zaidi kama haitafutwa.

[Lali/dilagi mpola kwenuko ]
He deserves, Mkapa ana kiburi sana, mimi nafikiri badala ya kumpiga stop Vincent mshaurini Mkapa akapumzike aache vijana kina Mwigulu, Nape, Vicent, Heche waicheze ngoma ya siasa, yeye akacheze na vitukuu asije kufia kwenye vibweta, kwani Mzee Mwinyi sio mtu mbona hana tatizo anajilia bata tu na wajukuu zake.

Hizi ni siasa kama mtu akikuanza mmalize usipofanya hivyo atakumaliza wewe. Igunga CCM walitumia mbinu chafu kuliko, mtu anamwagiwa tindikali ili atumike kutafuta sympathy, makada wa CDM waliuwawa Chadema walinyamaza sasa wameanza kujibu mapigo mnasema apigwe stop I can't believe. CCM hawa si wa kuhurumia ukipata nafasi gonga kichwa nyoka huwa hafi kwa kumpiga mkia.
 
Mzee Mkapa, achana na vijana hawa huwawezi!! Watakuvua nguo mbele ya Mama mkwe!!
Si unajua haka ka ishu kalivyo? Kumbuka mara yakwanza ulivoenda kumshauri Mwalimu majibu aliyokupa, ukaona haitoshi ukamualika Magogoni Mzee akagoma kuja ikabidi uagize watu ili kumshawishi? Mwalimu akahoji "afya yangu Rais Mkapa inamnyima nini?" Na majibu mengine ambayo watumwa wako waliona aibu kukueleza!! Baada ya hapo....si uanakumbuka lakini?

I 'll be back.
 
Mkapa kawaambia wapinzani ni 'wajinga na hawana adabu' is this okey? Kama nafahamu maovu yake nasema! Asituzingue hapa mkapa.
 
Mkapa si mtu wa kumyamazia, kwa kuwa amejiona yeye ndiye msafi ndani ya ccm na anatuletea ubabe kama aliouleta z'bar miaka ya '99 hadi 2000 na hapendi kujibiwa kwa kuwa ni mbabe, sasa amejiingiza ndani ya wakereketwa hayo mahasira yake ataugua
 
Mshaurini Vicent Nyerere aachane na hizo siasa. Hoja kuu ambayo alitakiwa kuisimamia ni kwamba Vicent Nyerere hajawahi ku-claim mahali popote pale kwamba yeye ni mtoto wa Marehemu Mwalimu Nyerere. Kwa hiyo, claim ya Mkapa ilikuwa baseless na haiwezi ku-hold maji na hizo ndio siasa za maji taka, watu wanaacha hoja halafu wanakijita kwenye kuzua vijambo na vijimambo.

Discussion za chanzo cha kifo cha Mwalimu Nyerere kwa sasa haziwezi kuwasaidia CHADEMA ili washinde huko Arumeru Mashariki. Mjadala huo kwa sasa hauna msaada wowote kwa wananchi wa Arumeru ambao wana matatizo ya Ardhi na Maji, pamoja kukosekana kwa ajira kwa vijana.

Focus ya Kampeni ya CHADEMA iwe ni kwenye kero za wananchi wa Arumeru. Ili kumgonga vilivyo Mkapa na Chama chake, matatizo ya maji na ardhi hayajaanza leo wala juzi, yapo kwa miaka mingi sasa. Je, Mkapa akiwa Rais ina maana hakuyajua hayo matatizo, kama aliyajua, kwanini hakuyashughulikia? Kikwete yuko madarakani mwaka wa 7 sasa, je hajapelekewa hayo matatizo au hajui hayo matatizo? Je, wananchi watakuwaje na imani kwamba Mkapa akienda kumwambia Kikwete matatizo ya maji na adhi atayatatua na ilihali amekuwa madarakani kwa miaka 7 na matatizo yako pale pale?

Iwapo Mzee Sumari (RIP) alishindwa kusaidia kutatua matatizo ya Arumeru Mashariki akiwa Naibu Waziri wa Fedha (sehemu ya serikali ya chama tawala), je leo hii mwanae ndio ataweza kuyatatua? CCM kimebaki kuwa ni chama cha kuweka ahadi hewa bila kutimiza. Hapo ndio CHADEMA inatakiwa kusimamia kwa kuwa ndo ukweli wenyewe na wananchi wanajionea. Wakumbusheni kwamba hata Igunga ambako CCM walishinda uchaguzi mdogo, zile ahadi zote za CCM zilizotolewa kwa wana Igunga ikiwemo ya kujengewa daraja hazijatimizwa hata moja!
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia lakini mpinzani wako akileta siasa za majitaka zinazoongelea vijimambo visivyo na mbele wala nyuma, njia pekee ni kumjibu kwa staili hiyo hiyo kwa facts. Kama wanandugu wa Nyerere wanaamini hivyo, basi Mkapa mwenyewe ndiye aliyemjengea mazingira Bwana Mdogo Vincent Nyerere nyongo. Ukikaa kwenye nyumba ilijengwa kwa vioo usidiriki kumpiga adui kwa jiwe. Ndicho kilichompata Nchinga 1 Nzee Nkapa.
 
Oops! Its totaly confusing. Mkapa is a very horible person he deserve to be no more at all. He is a real canifora.
 
Huyu mzee siasa za maji taka alitakiwa kumuachia Mwigulu na Nape,sasa atatujibu nini Watanzania? Hata kama atabisha ajue hilo linajulikana kwa Watanzania ila walikaa tu kimya kwa Uoga wao naamini sasa litafunguka na kufungua Mijadala Upya,Mzee arudi Dar apumzike kikwete alimuombea apumzike hakuskia ngoja yampate sasa
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia lakini mpinzani wako akileta siasa za majitaka zinazoongelea vijimambo visivyo na mbele wala nyuma, njia pekee ni kumjibu kwa staili hiyo hiyo kwa facts. Kama wanandugu wa Nyerere wanaamini hivyo, basi Mkapa mwenyewe ndiye aliyemjengea mazingira Bwana Mdogo Vincent Nyerere nyongo. Ukikaa kwenye nyumba ilijengwa kwa vioo usidiriki kumpiga adui kwa jiwe. Ndicho kilichompata Nchinga 1 Nzee Nkapa.
 
Mshaurini Vicent Nyerere aachane na hizo siasa. Hoja kuu ambayo alitakiwa kuisimamia ni kwamba Vicent Nyerere hajawahi ku-claim mahali popote pale kwamba yeye ni mtoto wa Marehemu Mwalimu Nyerere. Kwa hiyo, claim ya Mkapa ilikuwa baseless na haiwezi ku-hold maji na hizo ndio siasa za maji taka, watu wanaacha hoja halafu wanakijita kwenye kuzua vijambo na vijimambo.

Discussion za chanzo cha kifo cha Mwalimu Nyerere kwa sasa haziwezi kuwasaidia CHADEMA ili washinde huko Arumeru Mashariki. Mjadala huo kwa sasa hauna msaada wowote kwa wananchi wa Arumeru ambao wana matatizo ya Ardhi na Maji, pamoja kukosekana kwa ajira kwa vijana.

Focus ya Kampeni ya CHADEMA iwe ni kwenye kero za wananchi wa Arumeru. Ili kumgonga vilivyo Mkapa na Chama chake, matatizo ya maji na ardhi hayajaanza leo wala juzi, yapo kwa miaka mingi sasa. Je, Mkapa akiwa Rais ina maana hakuyajua hayo matatizo, kama aliyajua, kwanini hakuyashughulikia? Kikwete yuko madarakani mwaka wa 7 sasa, je hajapelekewa hayo matatizo au hajui hayo matatizo? Je, wananchi watakuwaje na imani kwamba Mkapa akienda kumwambia Kikwete matatizo ya maji na adhi atayatatua na ilihali amekuwa madarakani kwa miaka 7 na matatizo yako pale pale?

Iwapo Mzee Sumari (RIP) alishindwa kusaidia kutatua matatizo ya Arumeru Mashariki akiwa Naibu Waziri wa Fedha (sehemu ya serikali ya chama tawala), je leo hii mwanae ndio ataweza kuyatatua? CCM kimebaki kuwa ni chama cha kuweka ahadi hewa bila kutimiza. Hapo ndio CHADEMA inatakiwa kusimamia kwa kuwa ndo ukweli wenyewe na wananchi wanajionea. Wakumbusheni kwamba hata Igunga ambako CCM walishinda uchaguzi mdogo, zile ahadi zote za CCM zilizotolewa kwa wana Igunga ikiwemo ya kujengewa daraja hazijatimizwa hata moja!

Da unajua propaganda na kubadili topic muhimu ili kifo cha Nyerere kisijadiliwe. Vipi ulisomea wapi propaganda?. kigamboni? au mbweni kabisa!
 
Well elaborated. CDM should follow dis advice. Miaka yote hiyo CCM kwanininwabunge haikutatua hayo matatizo ya ardhi nk? Well mfa maji haachi kutapatapa.
 
Mkapa anapata sifa kisa anasifiwa kiuchumi-inrelation to Baba RIZI. Mi cmkubali fisadi . Akakae kwenye makochi nyumbani.
 
Wanasiasa ni watu wa ajabu sana,Chadema inawapasa kutoa sera za kusaidia maisha ya wananchi V.Nyerere analeta siasa za maji taka..achana na Mkapa tuambiane sera za kuwasaidia Wana-Arumeru
 
Kwa mtazamo wangu naona Mipasho na chokochoko za kubuni na kuzusha hazitawasaidia wananchi wa Arumeru East; chamsingi vyama vitangaze sera thabiti na namna gani wakipewa jimbo watawasaidia wazawa na jimbo lote kwa ujumla, Wameru Taarabu na miduara wameanza lini kuipenda na je mwadhan ndicho kitu sahihi wanachokihitaji kukisikia toka kwenu Wanasiasa tena hasa kwa kuzngatia nyakati hizi?
Tafakarini kwa kina na tuache ushabiki usio jenga, Taifa hili litajengwa na sisi wenyewe Watz"
 
Mkapa hastahili kuja kwenye hizi kampeni za kisiasa. HIvi kweli kama CCM wanataka msaada wa mtu mzito Mwinyi anapendwa zaidi na kuheshimiwa na Watanzania kuliko Mkapa na mzee yule bado ana nguvu na kama wangetaka wangemtumia yeye. Kumtumia Mkapa ni kosa kubwa sana kwani Mkapa - kama nilivyohisi juzi - hana huruma. Kwa Mkapa kushiriki hizi kampeni chafu akijua kabisa yeye mwenyewe tayari yuko tarnished ni kukaribisha haya mambo. I hope Vincent hatorudia mjadala huu kwani kama inavyosemwa "the damage" has already been done.
 
Back
Top Bottom