Rais yupi amemuenzi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye uongozi unaokidhi matarajio ya Watanzania?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania"

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde waovu wasiishinde,nasi tumsaidie yote tusimuachie,amina tena amina,amina tena amina.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliweka mbele maadili katika suala zima la uongozi,kila mara aliongelea viongozi ambao wanaweza kukidhi matarajio ya watanzania,alisema"watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM, watayapata nje ya CCM, inatakiwa ukiulizwa swali kwamba huyu atapiga vita rushwa? Jibu litoke ndani ya moyo, nchi yetu ni maskini bado haijawa ya matajiri hivyo tunataka tuendelee kushughulika na umaskini wetu na matatizo ya wananchi, tunataka nchi yetu ipate kiongozi safi''.

Katika uongozi,alizungumzia pia mambo mawili Dini na ukabila,mambo haya alisisiza sana katika hotuba zake, hasa kuwaasa viongozi wasitafute uongozi kwa kutumia dini na ukabila, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtu mwenye maono ya mbali,bahati mbaya tu hakufanikiwa kuwa na wasaidizi au vijana aliowalea wenye maono kama yake,Leo tupo hapa sababu Edward Moringe Sokoine aliondoka mapema,leo tupo hapa sababu Daktari Salim Ahmed Salimu hakufanikiwa kuwa Rais wa Tanzania,na kwa namna ya pekee niseme wazi tupo hapa hivi leo sababu Rais John Pombe Magufuli ameondoka mapema.

-Kwa nini Hayati Rais John Magufuli nimtaje baada ya Hayati Moringe Sokoine kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere?

Uongozi wa Hayati Rais John Magufuli katika kipindi cha miaka mitano, Rais Magufuli alionesha uthubutu na mabadiliko katika maeneo kadhaa,Hayati Rais John Magufuli alivunja mifupa migumu,Hayati Rais John Magufuli alionesha uwezo mkubwa wa kuchukua uamuzi mgumu ikiwemo kutekeleza mipango iliyokuwa imeshindikana takribani miaka 40,mojawapo ni kutekeleza mipango iliyopitishwa katika Serikali ya awamu ya kwanza chini ya Rais Julius Nyerere kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma,halmashauri kuu ya TANU (sasa CCM) ilipitisha mpango wa kuhamia Dodoma,lakini Serikali ya Rais Julius Nyerere haikuweza kutekeleza hadi ilipoondoka madarakani mwaka 1984 haikukamilisha,

Serikali ya CCM ya awamu ya tatu ya chini ya Rais Benjamin Mkapa ilihamisha wizara ya kilimo na ushirika jijini Dodoma lakini haikudumu huko,baadaye ilirejeshwa Dar es salaam,la pili ni uamuzi wa kutekeleza mpango wa mradi wa umeme wa Bonde la Mto Rufiji(Stigglers gorge) sasa ni mradi wa Umeme wa Mwalimu Julius Nyerere nao umetajwa nami nasema ni mafanikio kwa serikali ya CCM ya awamu ya tano,chini ya Rais John Pombe Magufuli,Mradi wa Umeme wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulisuasua kwa miaka mingi,pamoja na kukumbana na changamoto za wana mazingira lakini Rais John Pombe Magufuli alishikilia msimamo wa Serikali yake iwe jua au mvua lazima mradi wa umeme wa Rufiji wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ujenge na kwa hakika Rais John Magufuli akaanza Ujenzi na ameondoka Mradi ukiwa umepita asilimia hamsini kuelekea kukamilika.

Nimalizie kwa kongole kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,kitabu cha Enyclopia kimeandika ya kwamba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye mtu pekee duniani katika historia ya karne ya 21, aliyeweza kuwafanya watu wa makabila, dini, asili na historia tofauti kujiona kama watu wamoja,lakini kubwa lingine, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Oliver Tambo, Nelson Mandela na Chief Albert Luthuli ndio mwanzilishi wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini- Anti Apartheid Movement mwaka 1959 pamoja na Trevor Huddleston nchini Uingereza,kama binadamu wengine tulivyo,alikua na mapungufu yake,lakini atakumbukwa daima kwa kuweka maslahi ya nchi mbele kuliko yake binafsi,ameacha alama kwamba aliwahi kuishi duniani,najiuliza kila mara,siku nikimaliza safari yangu hapa duniani,nitakumbukwa kwa lipi?

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es salaam.
0755078854

- Bachelor of business administration in International business.

- Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
walioko nje ya CCM ni taabani afadhali ya walioko ndani ya CCM.

Kiongozi alieweweza kumuenzi mwl.Nyerere ni yule ambae licha ya kupinga na kukataa rushwa kwa maneno na vitendo,
Lakini pia alihakikisha waTanzania wana pata huduma muhimu kama vile maji, afya na elimu kuzitaja kwa uchache kwa ubora na uhakika zaidi.

Tangu alipong'atuka mamlakani Mwalimu Nyerere, haya yote yamekua yakifanyika kwa weledi mkubwa na kuimarika hatua kwa hatua.

Hitimisho:
Tangu awamu ya pili mpaka wa sasa,
viongozi wakuu wa nchi wamekua wakimuenxi Mwalimu Nyerere pakubwa sana na kwa namna mbalimbali.
Asanti...
Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania"

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde waovu wasiishinde,nasi tumsaidie yote tusimuachie,amina tena amina,amina tena amina.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliweka mbele maadili katika suala zima la uongozi,kila mara aliongelea viongozi ambao wanaweza kukidhi matarajio ya watanzania,alisema"watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM, watayapata nje ya CCM, inatakiwa ukiulizwa swali kwamba huyu atapiga vita rushwa? Jibu litoke ndani ya moyo, nchi yetu ni maskini bado haijawa ya matajiri hivyo tunataka tuendelee kushughulika na umaskini wetu na matatizo ya wananchi, tunataka nchi yetu ipate kiongozi safi''.

Katika uongozi,alizungumzia pia mambo mawili Dini na ukabila,mambo haya alisisiza sana katika hotuba zake, hasa kuwaasa viongozi wasitafute uongozi kwa kutumia dini na ukabila, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtu mwenye maono ya mbali,bahati mbaya tu hakufanikiwa kuwa na wasaidizi au vijana aliowalea wenye maono kama yake,Leo tupo hapa sababu Edward Moringe Sokoine aliondoka mapema,leo tupo hapa sababu Daktari Salim Ahmed Salimu hakufanikiwa kuwa Rais wa Tanzania,na kwa namna ya pekee niseme wazi tupo hapa hivi leo sababu Rais John Pombe Magufuli ameondoka mapema.

-Kwa nini Hayati Rais John Magufuli nimtaje baada ya Hayati Moringe Sokoine kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere?

Uongozi wa Hayati Rais John Magufuli katika kipindi cha miaka mitano, Rais Magufuli alionesha uthubutu na mabadiliko katika maeneo kadhaa,Hayati Rais John Magufuli alivunja mifupa migumu,Hayati Rais John Magufuli alionesha uwezo mkubwa wa kuchukua uamuzi mgumu ikiwemo kutekeleza mipango iliyokuwa imeshindikana takribani miaka 40,mojawapo ni kutekeleza mipango iliyopitishwa katika Serikali ya awamu ya kwanza chini ya Rais Julius Nyerere kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma,halmashauri kuu ya TANU (sasa CCM) ilipitisha mpango wa kuhamia Dodoma,lakini Serikali ya Rais Julius Nyerere haikuweza kutekeleza hadi ilipoondoka madarakani mwaka 1984 haikukamilisha,

Serikali ya CCM ya awamu ya tatu ya chini ya Rais Benjamin Mkapa ilihamisha wizara ya kilimo na ushirika jijini Dodoma lakini haikudumu huko,baadaye ilirejeshwa Dar es salaam,la pili ni uamuzi wa kutekeleza mpango wa mradi wa umeme wa Bonde la Mto Rufiji(Stigglers gorge) sasa ni mradi wa Umeme wa Mwalimu Julius Nyerere nao umetajwa nami nasema ni mafanikio kwa serikali ya CCM ya awamu ya tano,chini ya Rais John Pombe Magufuli,Mradi wa Umeme wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulisuasua kwa miaka mingi,pamoja na kukumbana na changamoto za wana mazingira lakini Rais John Pombe Magufuli alishikilia msimamo wa Serikali yake iwe jua au mvua lazima mradi wa umeme wa Rufiji wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ujenge na kwa hakika Rais John Magufuli akaanza Ujenzi na ameondoka Mradi ukiwa umepita asilimia hamsini kuelekea kukamilika.

Nimalizie kwa kongole kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,kitabu cha Enyclopia kimeandika ya kwamba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye mtu pekee duniani katika historia ya karne ya 21, aliyeweza kuwafanya watu wa makabila, dini, asili na historia tofauti kujiona kama watu wamoja,lakini kubwa lingine, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Oliver Tambo, Nelson Mandela na Chief Albert Luthuli ndio mwanzilishi wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini- Anti Apartheid Movement mwaka 1959 pamoja na Trevor Huddleston nchini Uingereza,kama binadamu wengine tulivyo,alikua na mapungufu yake,lakini atakumbukwa daima kwa kuweka maslahi ya nchi mbele kuliko yake binafsi,ameacha alama kwamba aliwahi kuishi duniani,najiuliza kila mara,siku nikimaliza safari yangu hapa duniani,nitakumbukwa kwa lipi?

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es salaam.
0755078854

- Bachelor of business administration in International business.

- Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Hakuna Rais Tanzania tuliyepata Kuwa naye wa ku-match na JPM. Hata huyo Nyerere hakufikia uwezo wa JPM.

Nyerere aliwapinga wazungu sana lkn akafia kwao, bwawa aliloasisi mwenyewe walimtingisha kidogo tu akaogopa kulijenga, tunajua jinsi JPM alivyotingishwa lkn wapi...Leo linakaribia kukamilika.

Nyerere alianzisha Azimio la Arusha lkn lilikufa akiwa anaona maana yake misingi yake haikuwa imara!

JPM alipokuwa anaamua jambo vyovyote iwavyo lazima alifanye pamoja na mikingamo..Nyerere suala la Mgiriki aliyeitukana serikali Askofu Makarius alimtingisha kidogo tu akaufyata!

We need to reckon Magufuli as do others plead to Magulify Afrika-the new term in Language!
 
Samia Rais wa Vitendo sio porojo
 
Nakazia
 
Hakuna wote ni wachumia tumbo
 
Wajinga hawakosekani siku zote!

Wasiokili kuwa JPM ndio kioo na ndiye Rais aliyefuata kwa ukamilifu na kuzidi, falisafa za Mwalimu Nyerere, ndio hao tunaowaita Wajinga wa Taifa!
 
Back
Top Bottom