Vijana wa Kitanzania na Matendo ya Uhalifu! Je nin ni tatizo?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Najiuliza sana haya maswali pasipo kupata majibu ya kueleweka, kifupi mpaka sasa sijapata jibu la mahusiano yaliyopo kati ya vijana na uhalifu, nin husababisha haya? Je nikweli vijana wengi hujihusha na ualifu ukilinganisha nawale wafanyao kazi? NI UHUSIANO GANI ULIOPO KATI YA UHALIFU NA VIJANA? Nini kinasababisha haya?
 
Ujana ni maji ya moto ndugu yangu!
Kwenye umri wa ujana ndipo mahali ambapo mtu anataka ajijenge, na anyoroshe future yake, na inajulikana kuwa ukibugi kipindi hicho ndo basi tena!...Hivyo hii inasababisha vijana ambao wamekosa fursa ya kuajiriwa kihalali basi wanatumia njia za mkato kujipatia mahitaji wanayoona yatawanufaisha na kuwasogeza mahala!
 
Ujana ni maji ya moto ndugu yangu!<br />
Kwenye umri wa ujana ndipo mahali ambapo mtu anataka ajijenge, na anyoroshe future yake, na inajulikana kuwa ukibugi kipindi hicho ndo basi tena!...Hivyo hii inasababisha vijana ambao wamekosa fursa ya kuajiriwa kihalali basi wanatumia njia za mkato kujipatia mahitaji wanayoona yatawanufaisha na kuwasogeza mahala!
<br />
<br />
Mkuu naunga mkono hoja yako hapo juu kama ulivyoainisha!
 
Back
Top Bottom