rutajwah
Member
- Nov 17, 2022
- 90
- 91
Habari wanajf,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Serikali ya Rais Samia suluhu imedhamiria kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 28000 mikoa yote Tanzania bara kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Na watakaochaguliwa watapata fursa ya kuhudhuria mafunzo ya miezi sita ambayo yanagharamiwa na serikali. Hivo hyo itakuwa fursa kwa vijana wengi ambao hawana ajira
source
View: https://www.youtube.com/watch?v=oRPzF0iZnP8&pp=ygUfd2FodWR1bXUgd2EgYWZ5YSBuZ2F6aSB5YSBqYW1paQ%3D%3D
View: https://www.youtube.com/watch?v=WgLkFboAdpE&pp=ygUfd2FodWR1bXUgd2EgYWZ5YSBuZ2F6aSB5YSBqYW1paQ%3D%3D
View: https://www.youtube.com/watch?v=BSmYNX_PXhQ&pp=ygUfd2FodWR1bXUgd2EgYWZ5YSBuZ2F6aSB5YSBqYW1paQ%3D%3D
So nimeanzisha uzi huu kwa ajili ya kupeana updates kwa wanaosubiria hizo nafasi kwani tetesi ni kwamba mafunzo yanaaza February.
Kwa yeyote mwenye updates awe anatupia hapa ili ku make sure that nobody is left behind
Thanks in advance.