Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
VIJANA 15 BORA WENYE NGUVU CHADEMA HAWA HAPA:-
- Zitto Kabwe
- Naibu Katibu Mkuu.
- Mbunge – Kigoma Kaskz – 2005 – hadi sasa.
- Mshauri wa Rais wa Ujerumani masuala ya kiuchumi – Sahara.
- Ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya Chama.
- John Mnyika
- Mkurugenzi wa Vijana kwa miaka 6.
- Mkurugenzi wa Mambo ya Nje hadi sasa.
- Amekaimishwa Ukatibu Mkuu mara nyingi.
- Mbunge wa Ubungo – 2010 hadi sasa.
- Yupo focused.
- Hana ushawishi ndani ya Chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
- John Heche.
- Diwani wa Tarime Mjini – 2008 – 2010.
- Alibebwa na uchaguzi wa marudio.
- Ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya Chama ingawa hana cheo chochote.
- Aligombea Uenyekiti wa vijana – akaangushwa na Kafulila.
- Halima Mdee.
- Mbunge – 2005 – hadi sasa (Viti maalum & Kawe)
- Ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya Chama.
- Ana uthubutu mkubwa sana..
- Dady Igogo.
- Afisa wa Chama.
- M/kiti wa kamati ya wagombea kwenye Timu ya Taifa ya Kampeni.
- Aligombea Unyekiti wa Bavicha – akaangushwa na Kafulila.
- Ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
- Ana ushawishi kwa vijana wa Chadema.
- Regia Mtema.
- Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
- Aligombea jimbo la Kilombero.
- Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
- Ni Afisa wa Chama.
- Anakubalika na kundi la vijana wa kike.
- Ezekiel Wenje
- Mbunge wa Nyamagana.
- Ana uthubutu.
- Yupo focused.
- Amebebwa na uchaguzi wa Nyamagana – 2010.
- Habib Mchange.
- Amebebwa na siasa za makundi sana.
- Ana ushawishi sana kwa vijana.
- Ana mikakati, yuko focused.
- Aligombea jimbo la Kibaha – 2010 akapata > 40%
- Ana uthubutu + anakubalika.
- Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – UDOM.
- David Silinde.
- Mbunge wa Mbozi Magh. 2010 – hadi sasa.
- Ana uthubutu
- John Mrema.
- Ni Mkurugenzi wa Bunge & Halmashauri.
- Aligombea ubunge jimbo la Vunjo.
- Yupo Strategic na focused.
- Ana uthubutu.
- Amebebwa sana na siasa za makundi.
Wengine ni:-
- Vincent Nyerere.
- Owawa Steven
- Burton Gwakisa.
- Mwakajila Emanuel
- Mhonga Said Ruhwanywa.
Huyo jamaa kwenye RED daaaaah,sijui tu kwanini walimbania kugombea ubunge lakini naamini ni mkali balaa,
umemsahau diwani mwingine,ingawa simfahamu vyema,naamini ni kijana machachari pia
View Profile: MsandoAlberto - JamiiForums | The Home of Great Thinkers